Namfafuta Richard Mushi

Loeli

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
997
Reaction score
763
Habari zenu wakuu,
Ninamtafuta Richard Mushi mchaga wa Kibosho. Alisoma degree ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa Morogoro kwa kampuni ya Wasouth waliochukua Kibuku brewing. Baadaye alirudi Dar es Salaam akiwa ameacha kazi Kibuku. Nami kwa sasa nimehamia Dar kikazi na ninaomba kama kuna wanaomfahamu hapa wanisaidie jinsi ya kumpata anakofanyia kazi kwa sasa au pia mawasiliano ya simu yake(kwa simu tafadhali fanya PM maana nisingependa simu yake ianikwe hapa). Nina amini wapo wengi kutoka kibosho au waliosoma naye humu. Shukrani sana wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…