Salaam. Wakuu nimenunua umeme wa kutoka cellcom. Sasa zile namba za luku hazionekani vzr na aliyeniuzia anadai zike kumbukumbu namba huwa zinapotea pindi anapotoa recept nyingine. Sasa wakuu nifanyeje kwenye hii hali.
Sent using
Jamii Forums mobile app