Naombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii

Voda sina experience nao,ila Airtel mzigo ukibuma Huwa naingia Facebook page yao Huwa wanajibu Na wanakutumia token,ila Tigo ndiyo Huwa wanajibu haraka zaidi kuliko Airtel,tigo ndani ya dakika kumi mambo yanakuwa hadharani