Namba ngeni imenitumia hela

Fasouls kweli ulikosea maana naona bado unauchapa usingizi.

Kumbe wewe ndio umetunga ilani ya uchaguzi ya chama ? endelea kuuchapa
 
hatupo kwenye mtihan wa kiswahil besides nenda kamfundishe demu wako.

Unaona sasa athari za elimu ya kuunga unga! Watu wanaandika kwa usahihi wawapo kwenye mtihani tu? Elimu ya Tanzania imeporomoka kwa sababu wanafunzi wengi wanafikiri wanaenda shule kusoma ili wafaulu mtihani! Bwana mdogo, tunasoma ili kuongeza maarifa ya kupambana na mazingira yetu, kwa mfano, kujua kuandika kwa usahihi. Elimika!
 
Kiongozi nimekuPM namba zangu za voda nirudishie hizo hela, nilikosea kutuma juzi mchana,
asante
 
Yaan mi hawakoseagi kutuma looo ni nyie tu khaa😊😊
 

Mkuu hyo hela niliituma mie kwa kukosea,, ilikua saa saba/nane hiv mchana na nisharipoti suala hili kwa customer care was airtel zaidi ya mara tano wananiahidi kulishughulikia suala hilo bila mafanikio, nahisi kuna mtu anamasirahi na wewe mkuu huko airtel,, naendelea kuwataarifu tena nw nione ukenge wao tena
 
Mbna Nikikupgia aupatikani???!!!
 

Yakrima hiyo ndugu kutoka lumumba 😂😂😂😂
 
rudisha bana ustaarabu kitu cha bure onywsha namna gani ulilelewa na wazazi wako vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…