Namba ngeni imenitumia hela

kumbe na hili jukwa ni zuri pia

Hhhhh...!
 
Nipe mimi bana achana na huyo best wako

Mtoto wa kike jiepushe na hela za wanaume. Akishakupa lazima kuna kitu na wewe utampa, kikikatikia ndani mwako kipande chake kidogo tu, mzigo utaubeba na kuulea wewe, hutomwona tena.
epuka hela za nje nje za wanaume kama ccm. ukishawapa leo hutowaona tena, utabaki na kofia na tisheti ya ukumbusho
 

Hela ni hela..iwe imetoka kwa mwanaume au mwanamke kazi yake ni matumizi..
Jamaa hataki kuzitumia na Hana dalili ya kurudisha. Basi agaie ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji.
Mimi ni mmojawapo na wengine wengi tu humu wanajua matumizi ya hiyo hela.
 
oya ni mimi nilikosea namba,sorry ni pm nikupe namba ya tgo unirushi mkuu
 
Angalia tu isije ikawa imetoka mombasa manake hawakawii kukunaniliu....
 
Mkuu inaonekana kwako sadaka ni msamiati....unadhan wanaume wote wapo hivyo?? hivi ww mara ya mwisho kutoa sadaka lini??
 

Kichwa chako kimejaa "funza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…