Namanga Township

Namanga Township

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
362
Reaction score
906
JICHO LANGU LA UCHAMBUZI, NILIPO KUWA NAMANGA WILAYA YA LONGIDO.

Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -14/6/2019
Ngorongoro, Manyara Tanzania

Namanga ni mji wa mpakani (border) baina ya Tanzania na Kenya, mji huu wa mpakani upo kaskazini mwa Tanzania katika mkoa wa Arusha wilaya ya Longido.

Kutoka Arusha mjini mpaka Namanga ni umbali wa 104 KM, umbali wa saa 1:35 kwa usafiri wa Noah au saa 1:50 kwa usafiri wa Hiace.

Tarehe 7/6/2019 nilifanya utembezi wa kuitembelea mji wa Namanga, ziara yangu ya hapo namanga ilifatia baada ya mualiko wa ndugu na rafiki yangu mkubwa ndugu Bahati Samwel.

Ziara yangu ndani ya Namanga na vitongoji vyake ilikuwa ziara yenye mafanikio makubwa sana katika kujifunza na kuburidika kwa kiasi kikubwa sana, ziara hiyo aikuishia Namanga tu kwani nilifanikiwa pia kufika maeneo kadhaa na viunga vyake nchini Kenya.

Nilishuhudia mambo kadhaa hasa biashara, shughuri za kawaida za kijamii na uhusiano mzuri uliopo kwa pande mbili za nchi hiyo.

Lakini pamoja na hayo nilishuhudia kuwepo kwa uingizaji mkubwa wa bidhaa za Kenya nchini Tanzania hasa bidhaa za viwanda (finished goods) huku sisi tukipeleka Kenya bidhaa za vyakula (food, vegetable).

Mzunguko mkubwa wa uchumi katika eneo hilo hutegemea sana upande wa Kenya ambao hutoa karibu 70% ya huduma zote katika eneo hilo la mpaka (Border corridor), hii ni kwakuwa upande wa Tanzania hutegemea huduma ya maji ambayo chanzo chake hutokea kenya katika Mlima wa Namanga west hills, pia huduma za afya kwa sehemu kubwa utolewa na upande wa Kenya kwakua upande wa Tanzania kituo cha afya kilichopo ni hoi hae.

Nje ya upande wa Kenya kuwa na zaidi ya hospital binafsi 4 na vituo vya afya viwili vyenye huduma zenye uhakika. Tukiachana na afya, bado hata kwenye huduma ya elimu upande wa Kenya umekuwa bora kuliko upande wa Tanzania, upande wa Kenya kuna shule za sekondari karibu 3 za binafsi na 1 ya serikali huku Tanzania ikiwapo shule mmoja tu.

Eneo la Tanzania ki-geographic limekaa Eneo zuri kibiashara kutokana na kuwa eneo la katikati kwenye njia za kwenda hifadhi kadhaa za wanyama kama Manyara national park na Ngorongoro conservation area. Lakini ajabu Eneo hilo hakuna hotel ya kutalii hata moja huku upande wa Kenya ukiwa na hotel kubwa mbili za kitalii Moja ya hotel hizo ni River hotel iliyopo Km 1.4 kutoka mpakani.

Hii River hotel ndio hotel inayotumika kama kivutio kwa wakaazi wa Eneo lote la mpaka kwani katika matukio yote ya harusi, mapumziko, sherehe mbali mbali na mkusanyiko wa weekend na sikukuu watu wengi hasa Watanzania hukusanyika eneo hilo.

Kabla ya mwaka 2015 upande wa Tanzania ilikuwa ukitumia umeme unaotoka Kenya umeme ambao ulikuwa haukatiki hovyo... Lakini kwa sasa hutumia umeme unaotoka Arusha ambao umekuwa na changamoto kwa kukatika katika hovyo.

Changamoto nyingine ni uchafu wa mazingira... Ukiwa upande wa kenya utaona utunzaji wa Mazingira na ustaarabu mkubwa wa kutunza mazingira, huku kwa upande wa Tanzania kukiwa na Ujenzi holela na umakini mdogo juu ya utunzaji wa mazingira.

Kwa sasa katika mpaka huo hutumika utaratibu wa kituo kimoja cha mpaka (One border Post) katika taratibu za forodha, uhamiaji na ushirikiano wa kiusalama, nilikutana na baadhi ya malalamiko kwa baadhi ya wakaazi wa eneo hilo la Tanzania kuwa Jengo la uhamiaji la upande wa Tanzania lilifanyiwa uchakachuzi wa pesa na kupelekea kujengwa chini ya kiwango, walitaka kufikisha lalamiko lao hilo kwa Mwaheshimiwa rais Pombe John Magufuli wakati wa ziara yake katika ufunguzi wa jengo hilo mapema mwaka jana lakini wapambe hawakuruhusu hilo.

Tataizo kubwa lingine ambalo limekuwa likiwatesa wakaazi wa upande wa Tanzania ni ukosefu wa maji, maji yanayotumika eneo hilo utokea Kenya, ambao jirani zetu hao utoa kiwango kidogo cha maji kuja Tanzania ukilinganisha na idadi ya wakaazi wa eneo hilo la upande wa Tanzania wanao kadiriwa kufikia 35000.

Nini Ushauri wangu?

Kwanza kabisa niwashauri wawekezaji kadhaa kwenda kuwekeza huduma za Afya, Elimu, Hotel za kitalii, viwanda vidogo vya nafaka na huduma za kifedha. Hii ni kwasababu ya rasilimali kubwa ya watu na mahitaji ya chakula kwa upande wa Kenya ni makubwa, huku uhitaji wa huduma za kifedha, elimu na afya ukiwa mkubwa.

Kama tunavyo jua kuwa uhitaji wa chakula nchini Kenya ni mkubwa na karibu 40% ya chakula chao hutegemea Tanzania hivyo ni fursa kuwekeza viwanda vya kuchakata nafaka eneo hilo lenye soko upande wa pili wa Kenya.

Pia serikali ni wakati muafaka kuitazama Namanga kama eneo muhimu kiuchumi hasa eneo la mpakani (Border Economic Corridor) ili kulifanya kuwa sehemu muhimu kiuchumi kwa kuwekeza huduma zote muhimu kama vituo vya afya, shule zenye ubora, soko bora la kimataifa na kuboresha network za telecommunications...

Nina mengi ya kusema kuhusu ziara hiyo lakini kwa uchache tu niombe kuishia hapo, naimani serikali yetu sikivu chini ya raisi wetu HON.John pombe Magufuli ata yafanyia kazi haya kwakuwa *"Eneo la mpaka wowote ule uwakilishi sura ya nchi husika ilivyo"*..

Ntaweletea jicho la uchambuzi wangu, katika sehemu nilizo tembelea katika ziara yangu inayoendelea kutia ndani Arusha, Longido, Ngorongoro, Nairobi, Karatu na hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.

Asanteni

Ndimi Comred Mbwana Allyamtu.

Mawasiliano:
+255679555526
IMG-20190609-WA0139.jpeg
 
+255679555526View attachment 1131443
We ni mwanaCCM kindakindaki hebu hizo changamoto mpelekee Katibu Mkuu wa Chama ili zitatuliwe haraka
 
Halafu maCCM yatakuja hapa na kukuita sio MZALENDO!

Majamaa yale bure kabisa!
 
Yaani huu ushauri wako pamoja na uzuri wake ungeuwakilisha bungeni jamaa wangeuchana! Halafu wangekwambia umetumwa na mabeberu!
 
Swala la maji namanga sio tatizo tatizo ni kikundi kidogo tu cha watu wachache wanao fanya huo mradi kuwa wao badala ya mradi wa kijiji (babu wa kale kina kitume na wengine wachache) nishafanya vikao nikiwa hapo mpaka na mkuu wa wilaya pamoja na viongozi wa kenya,ukiwekwa utaratibu mzuri namanga hamna shida ya maji kabisa kwa mda mchache nilio kaa hapo nimeona hilo,
mzee hassani mnampeleka peleka ka gari bovu tu saizi
 
Back
Top Bottom