Naliona 'anguko' la StarTimes...


Nilisha achana nao siku nyingi tu. Nipo na Continental decoder Nina uwezo hata kurekodi kipindi cha chanel fulani halafu nakuja kutazama baadaye wakati huohuo naendelea kuangalia chanel nyingine wakati recording inaendelea. Hakuna malipo ya kila mwezi.
 
wanategemea tv1 kuja kuwa mkombozi wao nahisi kwa sasa wanaifanya bure ile baadae waifanye iwe ya kulipia ili wawavute watu!! mi nahisi cha msingi kabisa ni kuongeza channel za maana hasa za enteirnment kwa mfano za comedy mfano dstv kuna channeli inaitwa sony max yaani so far ni my favourite tv channel nahisi pia startimes wakiwa serious wanaweza kuipata hii cahnnel kwa uweli ni nzuri sana na nyingine nyingi kama vile za diocumentary wafanye waziongeze
 
Mi mazeee ninampango wa kuamia Azam Tv niwe naangalia VPL maana Startimes nao nimafisadi kama wale wa chama cha kidum
 
mkuu mie hili niliwahi kusema humu humu...kuwa star times wanaingia HASARA ..mie pia nilifanya tafiti ndogo tu..karibu nyumba nyingi zenye STAR TIMES hawalipi ...hii ni HASARA kwao...
 


kibaya zaidi wakuu samsung anaingiza kama mvua tv zake zenye king'amuzi mumo kwa mumo. We ni kufunga tu antena. Unakamata local zote na za nje kichele bureee.
 

nijuze juu ya huduma za contnental,Ninasikia mara picha zinaganda,mara custom care hawapokei simu,mara channel za vifurushi vya bei zaidi huwezi kupata.Nakimaind king'amuzi hicho kwa jinsi wanavyokitangaza japo nikiipigia namba inayotangazwa haipokelewi,mara nyingine haipatikani na haijibu sms.
 

DStv itabaki kuongoza tu hata iweje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…