Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
mtani kama umeelewa nieleweshedu! thread yetu ulivyoiandika kha!
hahahahhhaha, anasema hiyo tarehe ataanza mtihani wake wa kidato cha nne (private candidate) hahahahahaahahmtani kama umeelewa nieleweshe
anhaa kumbe...kila la heri kwakehahahahhhaha, anasema hiyo tarehe ataanza mtihani wake wa kidato cha nne (private candidate) hahahahahaahah
Shikamoo wakubwa waJF?
Kichwa cha habari kinaeleza kwamba tarehe 30.10.2017 nitakuwa pale Jitegemee JKT kuliamsha dude lililoandaliwa na bi Joyce Ndalichako na mshkaji wake Charles Msonde.
Mimi nitasimama kama mtihaniwa binafsi(Private Candidate) na wenzangu wengine.
Dua zenu muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani kwa kuniitamshana jr Nyani Ngabu Shunie Mzizi mkavu Joseverest FaizaFoxy Bacary Superior @cephalacudo Evelyn Salt Illovo
Sent using Jamii Forums mobile app