Naleta simu kwa order from korea

Wanajamvi vuteni picha mtakapoanza kupigwa hizo danadana baada ya kupigwa.

"Mzigo unaingia kesho sawa? Ni ndege tu ilichelewa kuflait😀 sawa?
Usiwe na wasiwasi kabisa sawa?
We niamini mimi sawa?
Utapata mzigo wako kiroo safi sawa?
Tena mzigo ukishafika nitakupigia simu mimi mwenyewe! sawa?
 
Kama michango yangu inakupa kiki unalalama nini?
Wewe huna nia njema na hela za watu.
Members shitukeni.
 
Zilizobaki hizo lg g3 na lg prada hapo
 
Kama uko serious unataka tufanye biashara njoo pm na namba hizo na sio vitu vya kuniambia au kunifananisha na watu wengine ili nikuakikishie sikutapeli na uwee na aman
Mkuu, sijakuita tapeli, wala kukufananisha. Nimeeleza tabia ya huyo muhindi. Samahani kwa hilo.
 

Mimi nashauri wafanyabiashara wa humu wawe ni verified members

Ongea mods ili uwe verified user ili tukituma pesa zetu ukakimbia tujue tunakupata vipi

Yes hujawahi tapeli mtu ,but what if wewe ni Kitomari au wale member wengine waliotapeli watu

Dunia imechafuka siwezi kukuamini kwa maneno matupu

Halafu,kwanini namba yako ya simu imesajiliwa jina la mwanaume.TCRA wameruhusu mke kufungua line kwa majina ya mumewe na kinyume chake?

Otherwise ni ngumu nikutumie pesa sikujui vizuri pesa ni ngumu ikiliwa kizembe inauma sana
 
ushauri
kwa mfumo huu utasubiri sana, kwanini usitafte mtaji ukanunua misimu mingi ukaleta ukafanya 'cash on delivery' sales papo kwa papo..
daily watu wanalizwa kwa style tofauti tofauti daily alert zinatumwa milizo mipya inavyogunduliwa, maneno ayo yako matam wala hayasaidii
ni hayo tu
 
Hapo kwenye maswala ya namba kusajili hvyo hizo ni ishu zangu binafs kaka sawa na siwez kuzielezea kwa nn imekua hvyoo wewe ukiwa tayar njoo pm au nichek kwa simu ili uweze kupata uhakika wakila kitu ndio unitumie ela yako ya deposit na ujihakikishie uwee na aman kama ni mteja unae hitaji simu kaka
 
Upo sawa kiongoz kwa walio nifata pm na inbox wamejiakikishia wenyewe kila kitu na tumeandikishana kila kitu na wamepata uhakika kiongoz narudia kusema tena mm sio tapeli kama ukiwa tayari ni mnunuz njoo pm au nichek kwa simu ili ujidhibitishie na kujidhihirisha na kuandikishana kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…