Nakushauri usomee program ya Bsc. in Optometry

Direct cost ya optometry hapo kcmc ni sh ngap
on additional to data nilizokupatia utapewa almost 3.1m straight from HESLEB, na iyo 1.3m plus 2.5k utaongezea wewe binafs bt im pretty sure kwa fedha utakazopewa unaweza ukajilipia hiyo fee wewe binafsi na change kibao tuu ztabk kufanyia mambo yako mengine mengine.
cz bajet yako optometrist ya mwaka ni almost 4.7 up to 5.4m iyo ni yako wewe mwenyewe (pockt money plus research) na utapewa ila kwa awamu means semister moja na ile ya pili.
 
Ok nashukuru mkuu
 
Je, ninaweza kuchahuliwa kweli? Nimesoma CBG nikapata BBB mwaka 2015
 
Je, ninaweza kuchahuliwa kweli? Nimesoma CBG nikapata BBB mwaka 2015
hopefully big YES,
ila usacrifice kuiweka box ya kwanza kat ya zile tano zinazotolewa Mkuu.
karibu KCMUCo university the home of FREE ( Oxygen, WIFI, Books sc, Online exams etc
 
hopefully big YES,
ila usacrifice kuiweka box ya kwanza kat ya zile tano zinazotolewa Mkuu.
karibu KCMUCo university the home of FREE ( Oxygen, WIFI, Books sc, Online exams etc
Nimeiweka yakwanza mkuu. Vp kati ya optometry na prosthetics na orthotics ipi nzr? Prosthetics nimeweka ya 3
 
hopefully big YES,
ila usacrifice kuiweka box ya kwanza kat ya zile tano zinazotolewa Mkuu.
karibu KCMUCo university the home of FREE ( Oxygen, WIFI, Books sc, Online exams etc
Ahsante sana mkuu mambo yakiwa mazuri tutakutana huko
 
hii kozi haipo kwenye muongozo wa utendaji wa nchi yetu
mkuu hii corz, si ya leo wala jana ni kitambo kirefu sana 70`s huko ila katika ngazi ya Diploma, waasisi hao hao ndio wwametetea mpk hii leo Degree inatolewa kwa ufupi sibishan na wewe ila kwa kusaidiana maarifa na facts ni kuwa wizara ya Afya kwa ujumla wake imeidhinisha hii proffesn na kuanzia mwaka 2014 ikatoa license rasmi kuwa ktk list mama ya HEATLH SECTOR SERVICE. (note; corz pekee ambayo up to date haijapatiwa license licha ya kuwa inatoa wataalam wa afya nchini ni PHYSIOTHERAPY peke yake) though very soon itapatiwa,
asante na ninawakilisha mkuu.
 
Nimeiweka yakwanza mkuu. Vp kati ya optometry na prosthetics na orthotics ipi nzr? Prosthetics nimeweka ya 3
mkuu, prothetics and orthopedics pia ni coz nzur ya afya inayopatikana apa KCMUCo, ila katika kukusaidia tuu maarifa usijaribu kucompare hizo corz na optometry kabisa, huwez kuelewa nn ninachokimaanisha kwa sasa maana uko out of sight ila ukishakuwa ndn ya system (insight) utaelewa nn hasa nilichokuwa nakimaanisha.
omba Mungu upate nafas kwanza,
asante.
 
Kwa hiyo ajira serikali hawatoi kwa bongo?
historia ya optometry dunian kote sambamba na nchi ze2 hiz za Africa haijawahi kutokea optometrist akakosa kazi unless otherwise akatae mwenyewe haijalishi ni ngazi gani ya taaluma amepitia either iwe diploma ama dgree wote wanahitajika kwa wingi mno na bado hawatoshelez mahitaj bado.
hivyo bhs we soma kwanza pesa utaikuta njiani na utaikamata barabara kikubwa tuu ni kujitoa maana ina changamoto zake hususan za kitaaluma Darasan.
 
Kwa hiyo ajira serikali hawatoi kwa bongo?
nayasena hayo tayar nikiwa na DATA zinazojitosheleza ila pia kama member ktk system ya wale waliohitimu na wale ongoing optometrist, SO issue ya ajra serikalin zinatolewa ila waliowengi wapo ktka private sectors while other wakiwa wamejiajiri and only few Number of them wakiwa wameajiriwa serikalini.
nawakilisha.
 
Mkuu tuombe mungu
 
aisee mkuu nimefuatilia hii kozi kwa undani nakubaliana na wwe ni kozi nzuri sana nilikuwa sijui aisee
 
aisee mkuu nimefuatilia hii kozi kwa undani nakubaliana na wwe ni kozi nzuri sana nilikuwa sijui aisee
yeah; siku zote napenda mkosoaji ambaye ni mfuatiliaji na si mkosoaji asiye na hata chembe za data kichwan, hivyo ndivyo ilivyo optometry mkuu kat ya proffesn inayokuja kwa kas kubwa sana africa na TZ ikipata bahat tayar ya kuwa na wataalam wenye hadi ngaz ya masters na PHD mkuu, (japo ni wachache mno) ila very markertable proffessional ever in HEALTH sector worldwide.
 
sasa mkuu mtu mwenye diploma ya clinical medicine anaweza kusma hiyo kozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…