we need changes
Member
- Jul 6, 2012
- 44
- 8
Kama umehitimu kidato cha sita PCB,PCM,CBG au PGM nakushauri uchague Bachelor of science in optometry, ni program mpya katika chuo cha KCMUCo ,moshi.
Optometry ni eye health care professional.
Nakaribisha maswali Zaidi.
kaka hii ni health care profession ambayo nchi yetu bado ina upungufu wa wataalamu wa afya kwahyo hicho ulichokisema hakipo, Diploma ipo tangu muda na hakuna graduate wa diploma wanaokosa kazi. kwaiyo bachelor degree haitakuwa na usumbufu kama huo kabisa.Sawa umewasaidia ila umeshindwa tu pia kuwaambia ukweli kuwa programs mpya zozote huwa zinachukuwa muda hadi kuja ku click katika industry hivyo wawe tayari pia kwa usumbufu wa kuajirika. Kila kitu hata kama ni kipya lakini kina madhara yake au changamoto zake.
kaka hii ni health care profession ambayo nchi yetu bado ina upungufu wa wataalamu wa afya kwahyo hicho ulichokisema hakipo, Diploma ipo tangu muda na hakuna graduate wa diploma wanaokosa kazi. kwaiyo bachelor degree haitakuwa na usumbufu kama huo kabisa.
hyo ni possible loan mkuu lkn wanafunzi waliodahiliwa mwaka jana tuition fee loan wamepata 3.1M ina maana wao wanaongeza iliyobaki kwaiyo unaweza ukajichanga kiasi kinachobaki mkuu if possible.Mkuu Ulichotushauri Ni Kizuri ila Umesahau Kitu Kimoja Muhimu Sana Kukizungumzia Ndani Ya Ushauri Wako! Si Chengine Bali Ni "Tuition Fee & Possible Loan Amount".
Mkuu Kuhusu Program hii ya optometry, Kwenye TCU-GuideBook Wametuelekeza Hivi:-
Tuition Fee: 4,400,000
Possible Loan Amount: 2,800,000
Sasa Hapo Mkuu Nilichofahamu Mimi Ni Kuwa Chuoni Utalipa 4,400,000! Lakini Mkopo utakaopewa Ni 2,800,000/=
Inamana Hapo Kwa Ufahamu Wangu Ni Kuwa Unaongezea Pesa Zako Mwenyewe 1,600,000/=
Sasa Mkuu Masikini Kama Mimi Na Wenzangu Tutaupokeaje Ushauri Kama Huu?
Mkuu 1,600,000 ni Hela Ndefu Sana Kwa Mtu Kama Mimi ambaye Sifa Ninazo Lakini Kwa Vyuo Kama KCMC, CUHAS, HKMU, tunaishia Kuviangaliaga tu Lakini Standard Za Maisha Zinatuzuia Kuvisoma.
Nilipokosea Nirekebishe usinilaumu.
iko vzuri pia usijali,hongera kwa uchaguzi mzuri.Je physiotherapy na hiyo ipi iko vzr zaidi? Msaada tafadhalli maana mimi nimeomba physiotherapy
unaweza ukapata kutokana na matokeo yako,lkn pia usisahau kuwa kuna kozi zingine za afya nzuri uapply nazo kama optometry na Physiotherapy.wale wa md vp 2tapata k2 kwel
Kwani Mkuu Pale inapoandikwa Possible Loan si Ndiyo inamaanisha Kuwa Hiyo Ndiyo Hela Ya Mkopo ya Tuition Fee utayopewa na si Zaidi ya Hiyo?hyo ni possible loan mkuu lkn wanafunzi waliodahiliwa mwaka jana tuition fee loan wamepata 3.1M ina maana wao wanaongeza iliyobaki kwaiyo unaweza ukajichanga kiasi kinachobaki mkuu if possible.
izo sa inabd tena kuztengenezea hob maana ukparamia itakuwa tab tupuunaweza ukapata kutokana na matokeo yako,lkn pia usisahau kuwa kuna kozi zingine za afya nzuri uapply nazo kama optometry na Physiotherapy.
ile ni possible amount which means unaweza kupewa zaidi ya hyo amount.Kwani Mkuu Pale inapoandikwa Possible Loan si Ndiyo inamaanisha Kuwa Hiyo Ndiyo Hela Ya Mkopo ya Tuition Fee utayopewa na si Zaidi ya Hiyo?
Unajua physiotherapy ni kuwanyoosha viungo wagonjwa na kuwakanda au massageJe physiotherapy na hiyo ipi iko vzr zaidi? Msaada tafadhalli maana mimi nimeomba physiotherapy
Kwa hiyo bora optmetry kumbe!Unajua physiotherapy ni kuwanyoosha viungo wagonjwa na kuwakanda au massage
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Mkuu sekta ya afya bado ina upungufu mkubwa wa ajira kwa hlo shaka ondoa.Vipi kuhusu ajira mkuu
Mkuu ungeelezea vzuri zaidi lkn inaonekana huijui vzuri physiotherapy ungeuliza uijue vzuriUnajua physiotherapy ni kuwanyoosha viungo wagonjwa na kuwakanda au massage
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
hellow, kuhusu direct cost ya optmetry through out a year ni 4.4m, kama walivyoainisha kwenye TCU guide bk,Direct cost ya optometry hapo kcmc ni sh ngap
Sawa umewasaidia ila umeshindwa tu pia kuwaambia ukweli kuwa programs mpya zozote huwa zinachukuwa muda hadi kuja ku click katika industry hivyo wawe tayari pia kwa usumbufu wa kuajirika. Kila kitu hata kama ni kipya lakini kina madhara yake au changamoto zake.