Yamesalimika ndg, ningepata kesi asubuhi hii, na uzee huu sijui kama ningebaki salama!Aahahahahahahhahahahaaaa looh Umenifurahisha sana heheheheh. Polee mwayaa, bora maharage yamesalimika.
Unamaanisha nini "usingebaki salama"? Huko ulipo wazee hua mnafanywa nini mkimwaga maharage ya watu?Yamesalimika ndg, ningepata kesi asubuhi hii, na uzee huu sijui kama ningebaki salama!
We Nyani Ngabu njoo ubusiwe huku
Kasie njoo umbusu ngabu
Nani saizi yangu?Ngoja nikuitie saizi yako...akupige ngumi ya Kisukuma.
Nani saizi yangu?
Najua utanitetea tu wewe[emoji1]Atakayekupiga ngumi ya Kisukuma [emoji23]
Najua utanitetea tu wewe[emoji1]
Ha haha kumbe wanipenda kisirisiri nyau weweOf course!
Siwezi kuruhusu utandikwe ngumi ya Kisukuma hata kidogo.
Ha haha kumbe wanipenda kisirisiri nyau wewe