hili kama linaukwel vile japokua aliniambia hayupo na mtu naanza kupata mashaka
asante mkuuMkiambiwaga ukweli hamuelewi ilimuacha na sasa sio kuwa unampenda unataka ule bumunda Alafu aanze kuleta longo longo
Fanya maisha yako dogo mbona wanawake wapo wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndyo mitano mkuuDah miaka mitano? Sijui mlikuwa na umri gani na sasa mna mri gani
Sent using Jamii Forums mobile app
kawaida tu mkuu ..mtoto kataka mwenyewe nikaona cyo kess nikipata kitonga ila ndo kama hvo tenaNyie mlio kuwa na uwezo wa kuyarudia mahusiano yenu ya nyuma mna moyo sana
sawa mkuuWee unachotaka kwake ni nini?usirious wake au nyapu.wee endelea kukamua mzee usirious utakuja mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
ushauri mzur sana mkuu asanteDogo kuwa makini, wanawake hawapo wazi kwenye kauli zao, nipe muda inaweza kuwa ndio tayari umeshapigwa kibuti ivyo au inaweza kuwa anakuona unamletea ma lovey dovey unataka kutulia wakati yeye bado anakitembeza.
Kama unataka mahusiano ya kutulia, ni rahisi kuanza mahusiano mapya kuliko kufufua mahusiano yaliyojifia.
We mtoto wa kiume, linapokuja suala la mademu usiwe na scarcity mindset, mademu wapo kibao, kwa nini uhangaike na ex. She's your ex for a reason.