official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 401
- 865
Huwa-hawalijui hilo atiOkay lakini akitiwa mimba polisi hawatamsaidia chochote kile na kama yuko shule kitabu ndiyo basi tena. Tayari single mother 99% ya wanaume hawamtaki kama mke wanagegeda na kusepa na si ajabu kumuongezea idadi ya watoto wasiokuwa na Baba.
Mtu mmoja aliwahi niambia hivi " siwezi kumshauri dada au ndugu yangu wa kike kuhusu mambo yake na boyfriend wake, nikamuuliza WHY akajibu kuwa mimi nitamshauri au kumpa maonyo nikiwa nimevaa nguo, akitoka kwangu ataenda kwa huyo mshikaji wake watashauriana wamevua nguo, unadhani ushauri wa nani utakuwa na nguvu hapo? JIBU UNALO.Huwa simshauri mtu hadi akutwe na janga, ukiona mtu anapotea acha kumwambia subiri apate janga huko alipokuwa anapaona ni pazuri ili awe na mfano wa kujifunza pale unapokuwa unampa ushauri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu mmoja aliwahi niambia hivi " siwezi kumshauri dada au ndugu yangu wa kike kuhusu mambo yake na boyfriend wake, nikamuuliza WHY akajibu kuwa mimi nitamshauri au kumpa maonyo nikiwa nimevaa nguo, akitoka kwangu ataenda kwa huyo mshikaji wake watashauriana wamevua nguo, unadhani ushauri wa nani utakuwa na nguvu hapo? JIBU UNALO.
Hapo dawa ni kutumia njia zote yaani kuwa mkali kumuwakia na makofi ikibidi, kumnyanganya simu na kumpa nasaha za maisha vinginevyo mtalea mimba soon...Sio sawa watawasiliana kupitia sim ya rafiki yake je na ya rafiki yake utachukua fanya nae canseling atakuelewa ndio dawa
Ina ukakasi kiasi fulani lakini kuna ukweli asilimia kubwa, kikubwa kama kaka, dada, mzazi au mlezi nikujenga mazoea na ukaribu na hawa viumbe kabla umri wao wakutaradadi haujafika lakini wakishaanza tu na huko nyuma hukufanya sehemu yako ya kumjenga na kumfanya rafiki yako, sahau ushauri wako kukubalika mpaka matokeo mabaya yakimkuta ndo akili zitamrudi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
18yrs, ana haki zote.....keshampenda 38yrs ni senior bachelor kapata kimwana kibichiiii......dogo keshaliwa yoteee....mkanye tuu awe makini....magonjwaaaaSio hivyo, huyu ni mdogo angu.
Najaribu iisjindikana basi tenaIna ukakasi kiasi fulani lakini kuna ukweli asilimia kubwa, kikubwa kama kaka, dada, mzazi au mlezi nikujenga mazoea na ukaribu na hawa viumbe kabla umri wao wakutaradadi haujafika lakini wakishaanza tu na huko nyuma hukufanya sehemu yako ya kumjenga na kumfanya rafiki yako, sahau ushauri wako kukubalika mpaka matokeo mabaya yakimkuta ndo akili zitamrudi.
π π π π π π watu mna mabalaa sanaAnachoongea ni ukweli tupu
Mana asingekojozwa asingempenda kiasi hicho
Ushauri mzuri huuHata ukashauri nini hakataelewa mana kanakojozwa Ila kaambie kuna ngwengwe na mimba katumie condom
PerfectNi msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.
Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.
Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo?
Watoto wa siku hizi sijui wana mapepo?