Nakupenda Bure Tu

Hahahhaaa....

Tarehe za miamala hizzii...

Dah..
Kuna watu wajanjaa...

Na hapo lazima kash itumwe
Na hajatajwa mtu hapo, kila atakae jichanganya ataambiwa ni special kwaajiri yake. Mnajikuta watu 15 mmetuma!!!!
 
Kwa yote hayo mazuri bado UNAMPENDA BURE
Mpende hata kwa buku 2 jero..

Noti: komenti ni kwa hisani ya futari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…