katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Vipi mzee ,mbona unatoka mbio?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sitaki kuwa shahidiVipi mzee ,mbona unatoka mbio?
Kwanini?Sitaki kuwa shahidi
Tatizo ni wivu tu refer ID picture yangu jinsi nilivyofanya uharibifu kwenye sura ya huyo kiumbeKwanini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo ni wivu tu refer ID picture yangu jinsi nilivyofanya uharibifu kwenye sura ya huyo kiumbe
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Vyura???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kina vyura watakuelewa kwa tabu sana!
Mapenzi ndio yapo dunianiHayo maneno ndo yalimwondoa mzee wetu duniani kabla ya siku zake. Wazee ka sisi haturuhusiwi kuyaambiwa na KATOTO KAZURI ka weye. Natangaza; SIKUPENDI SIKUPENDI kwanini nife kabla??
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata tamaa.
Babe nakupenda sana hujui tu nilivyokupenda ninavyokuamini nakukujali.
Sijui nilini utakapowaambia ulimwengu jinsi ninavyokupenda kama nini.
Siku hiyo sijui nitakuwaje pale nitakapogundua washakunaku na wasiompenda KATOTO KAZURI kuwa naye kapata faraja la moyo wake.
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Maisha yetu ni yetu ila ninachokuomba uzidi kunipenda usiwasikilize watu wakikuambia mabaya kuhusu mimi.
I LOVE U najua sio lazima niseme ni nani ila jua kuwa upo humu nanina kupenda bila kifani .
WivuuuuMbona unazunguka sana, si uombe tu hela
Yaani, ahahahahahaaa hata kama unao watano humu, KILA MMOJA ATADHANI ANAAMBIWA YEYE..Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata tamaa.
Babe nakupenda sana hujui tu nilivyokupenda ninavyokuamini nakukujali.
Sijui nilini utakapowaambia ulimwengu jinsi ninavyokupenda kama nini.
Siku hiyo sijui nitakuwaje pale nitakapogundua washakunaku na wasiompenda KATOTO KAZURI kuwa naye kapata faraja la moyo wake.
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Maisha yetu ni yetu ila ninachokuomba uzidi kunipenda usiwasikilize watu wakikuambia mabaya kuhusu mimi.
I LOVE U najua sio lazima niseme ni nani ila jua kuwa upo humu nanina kupenda bila kifani .
HahahhahahaYaani, ahahahahahaaa hata kama inao watano humi, KILA MMOJA ATADHANI ANAAMBIWA YEYE..
UmemiwahiiiYaani, ahahahahahaaa hata kama inao watano humi, KILA MMOJA ATADHANI ANAAMBIWA YEYE..