Nakuona Mbunge Tabasamu unavyotabasamu na ili la MAFUTA. Bashe kubali wabunge msifanye biashara mnaumiza Watanzania

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Usiku mzima wa leo nimeendesha gari kutoka mpaka wa Namanga hapo Kati ya Tanzania na Kenya Kwa shughuli binafsi.

Mpaka sasa ninavyoandika nipo mkoani Mwanza, nimefanikiwa kupitia vituo vyote vya MH Mbunge Tabasamu, na nimefanikiwa kukuta akijiandaa kutabasamu kuanzia kesho baada ya mafuta kupanda.

Ili tabasamu tarajiwa kwa Mbunge Tabasamu, linatokana ya yeye kuwa miongoni mwa wafanyabiashara walioficha mafuta ili kusubiri upandaji wa bei ya Mafuta.

Hakuna MTU yeyote wa EWURA anaweza kwenda kukagua maghala ya mafuta ya Tabasamu we ujinpendi nini?

Narudia tena kama ambavyo Kigwangala anamiliki kampuni za kununua mazao yetu yeye na Bashe ebu tunawaomba Sana ridhikeni na ubunge Tu.
 
No peace of mind mpaka the End !! 😅😅🙏🙏
 
Back
Top Bottom