Nakumat (T) branch

Hahaa hii lazima itakuwa kwa watani wangu Upareni!!
 
Ule usemi wa hata mbuyu ulianza kama mchicha hapa ndo unapopata maana.Ha ha ha.
 
Hiyo branch labda itakuwa inapatikana pande za msoga kwa
kina vasco da gama.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…