Nakuja Mwanza,naomba kampani ya mdada

ATM ya JF

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
16
Reaction score
74
kwa aliye mwanza napenda nipate mwenyeji sanasana mdada, nataka anizungushe jijini.
 
charminglady pokea mgeni, nendeni mkaogelee malaika, mkale goldcrest na umzungushe zungushe!!!
si unacheki jina lake lakini???
 
Last edited by a moderator:
"alieuza cheni kapewa hela bandia na alietoa hela kapewa cheni bandia" prof. Jay wa mitulinga
 
teambazazi weye, wahy mdada na sio mwanaume
 
"alieuza cheni kapewa hela bandia na alietoa hela kapewa cheni bandia" prof. Jay wa mitulinga

Umemsoma eti mkubwa; kwanza JF sio Bank sasa ATM hiyo kwa vyovyote vile haina uhusiano na mapesa; tunamkaribisha jiji la samaki ajionee vijana wanavyojua kutumia - kwanza hajasema katokea wilaya gani? Kama ni wilaya hizi mpya za JK; majanga.
 
kwa aliye mwanza napenda nipate mwenyeji sanasana mdada, nataka anizungushe jj
weeeeee! jiji la mageuzi hili usifikiri ni ubwete ati! hata hivo umetokea wapi nikuunganishe na kajirani kangu hapa kana ngoma huu mwaka wa sita lakini hakachuji ati!!! sema unafikia wapi?
 
Umemsoma eti mkubwa; kwanza JF sio Bank sasa ATM hiyo kwa vyovyote vile haina uhusiano na mapesa; tunamkaribisha jiji la samaki ajionee vijana wanavyojua kutumia - kwanza hajasema katokea wilaya gani? Kama ni wilaya hizi mpya za JK; majanga.

halafu ni mwalimu, amepata kamshahara kake
 
Ukifika mwambie dreva taxi akupeleke villa park, utapata tu wa kukuzungusha ulijue jiji
Wengine tuko busy na kilimo tukiiacha hii mvua inayonyesha sasa itakula kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…