Nakufa naombeni msaada

Afadhari wewe unapenda udongo wa dukani, mke wangu yeye alikua anapenda ule udongo wa mchwa.... akikuta mti una mchwa basi atakwangua udongo hadi namuonea huruma.
 
Muwe makini na mnavyoanzisha Thread, watu tunakuja mbio tukijua twaja kusaidia maisha ya mtu kisha unakutana na mambo kama haya.
 
Unaupungufu wa madini chuma meza dawa inaitwa fefo utaacha kula udongo
 
Asante kama ukihitaji ushaur wa haraka na wewe tafuta attention kama mie ili watu waukimbilie Uzi wako[emoji3]bila kichwa cha habari usingesoma ,hongera Kwa kukwazika panapo makaaliwa nikishusha mzigo ntakuPM utume permpers
Pole mama kijacho ila inaonekana clinic haukuhudhuria tokea awali.
Hapo ilitakiwa uwe unatumia folic acid kila siku..ila maadam ulishaenda na umepatiwa dawa basi jitahidi kuzitumia sawasawa. Bila shaka hako itakuwa ni ka baby girl
 
Wataalam watakuja kuelezea zaid ila kwa Mama mzazi au mjamzito...kuna hivi wanaitwa virutubisho..(hivi sio dawa ni virutubisho))... Vinasaidiaa sana wanaita MULTI-VITAMINS…..(complex).. Maana kutokana na nature ya mimba unaweza kuta unapenda kula chakula kisicho na vitamins sana na kukataa chakula chenye faida (sababu ya mabadiliko ya mwili) kwahiyo KUNYWA MULTI VITAMINS hizo shida zitaisha sana.,..ukienda kwa daktar NA kwennda pharmacy itasaidia sana.

Mungu wetu wote
 
Wakuu mimi nauliza endapo mama mjamzito hatopata vile vidonge vya mwanzo kabisa..kutakuwa na madhara yeyote kwa mtoto na kwake? Au akichelewa kupata hivyo vidonge.
 
Ujauzito wa mke wangu alikuwa anapenda Sana harufu ya moshi wa gari hivyo kila saa nikitoka kwenye ishu zangu anawasha gari anachukua mkeka then anakaa nyuma kwenye exoz .
 
Mkuu na huko nje ya nchi ( Ulaya) kuna udongo kumbe......
Ila mnatabu mpaka mgoogle, poleni sana wakuu.
Ukijifungua mtoto aje, kwa wajomba zake huku bongo.
 
Ujauzito wa mke wangu alikuwa anapenda Sana harufu ya moshi wa gari hivyo kila saa nikitoka kwenye ishu zangu anawasha gari anachukua mkeka then anakaa nyuma kwenye exoz .
Huyo mtoto atakua dereva...😂😂
 
Jaman dalili za mimba huonekana
Baada ya mda gani tangu mmetoka
6*6
 
Dhaaaaa ngoja week iishe Ndo nipate
Majibu Maana Kuna mtu simwelewi
Hata sku 3 bado ila naona kizaazaa
Anazingua huyo siku 3?[emoji849][emoji849][emoji1745]
 
Mwambie Yesu amejulika sana, hayupo rafiki kama Yesu
Mwambie Yesu sasax2
 
Huku ndio kufa mama?
Ukienda clinic wanasemaje kuhusu hali yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…