Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,000
Watambulishe watoto Kwa ndugu zako hata kama ukaondoka ndugu wanaufaham juu YaoHii kitu inan umiza sana kwa sababu nime zaa watoto wawili kwa siri nje ya ndoa
Mkuu mpaka sasa si Mama yako anaishi kwenye mji wa Baba yenu ulipo lelewa?Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Umesha olewa? Kijana wangu?Wakuu,

Mbio nyingiHahahah......ndio ukipata pesa unasepa zikiisha unarudi? Sababu ni wanawake?
Wakuu,

Pole sana. Klimchomfanya baba yako aondoke ni nini? Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa kero mpaka mumewe akaona ni bora akimbie na kutokomea mbali. Japokuwa mara nyingi wanaume ndiyo huwa wakorofi, lakini usi-rule out kuwa kuna wanawake wanashindana na shetani kwa ukorofi. Na ukikutana na mwanamke mkorofi ni hatari sana kwa afya ya maisha yako. Hili kama hujaona au kuoa huwezi kukubali lakini lipo.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Duuh tupe uzoefu kidogo mkuuMimi nawapenda sana wanangu, ila kwa kitu mke wangu alinifanyia mwaka 2013 nikiwa na watoto wawili, ningeweza mtelekeza kama Baba yako alivyofanya ( Kama nisingekuwa na Imani katika Mungu)
Hawa Mama zenu sio malaika, wakati mwingine waache tu wateseke!
Hahahahaha eti wanawake wanashindana na shetaniPole sana. Klimchomfanya baba yako aondoke ni nini? Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa kero mpaka mumewe akaona ni bora akimbie na kutokomea mbali. Japokuwa mara nyingi wanaume ndiyo huwa wakorofi, lakini usi-rule out kuwa kuna wanawake wanashindana na shetani kwa ukorofi. Na ukikutana na mwanamke mkorofi ni hatari sana kwa afya ya maisha yako. Hili kama hujaona au kuoa huwezi kukubali lakini lipo.
SawaWatambulishe watoto Kwa ndugu zako hata kama ukaondoka ndugu wanaufaham juu Yao
Kapandikizwa chuki huyo anataki afanye utafiti kwasababu huyo Baba ana kwao na ana ndugu jamii na marafiki, kwa kitamaduni za Kiafrika Kama kweli huyo Mama yake ameolewa kwa ndoa ya kidini, Kiserikali au Kimila lazima Familia zinakua zina wasiliana kupitia Baba wadogo na wakubwa na Mashangzi na Babu na Bibi, Kama kweli huyo mzee wako kakimbia kusikojulikana tena na Mwanamke mwingine lazima watoto mgejua Baba yenu yupo sehemu furani na kao mke wa pili.Ulikuwa na wiki mbili ulijuaje kama kakimbia na mwanamke mwengine? Wazee miyeyisho wapo, ila nimejifunza kuwa makini sana tunapowatuhumu wazee wetu, wengi wamebeba siri nzito sana ambayo wakikuambia utajikana na utaishi maisha ya upweke sana.
Kwani baba yako bado yupo hapo nyumbani kwenu?mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
Kwa ufahamu wangu mdogo Mlaumu sn bimkubwa kwakuamua Kukulea alone,wanaume wachache sn wanakataa kilea kinachotokea ni kua mzee ameepusha mtafaruku kwenye familia na kukaa pembeni,km huamini fanya uchunguzi wako mwenyewe,isihusishe wanafamilia bali watu wa pembeni kabisa ulizia story za mzee na bimkubwa wako.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Na wewe utakuwa Baba one day ukiendelea kuwa na Chuki nae kias icho na ww Wanao watakuchukia hata kama utawalea vizuri.Wakuu,