Nakosa hamu ya kuangalia Taarifa ya habari

Wadau kadiri siku zinavyozidi kusogea na matukio yanayoendelea kutokea zikiwemo kauli nbalimbali hamu ya kuangalia taarifa ya habari inakwisha kabisa...sijui kwa wenzanagu hali ipoje...

hohooo! pole sahibu yangu.Nimeshang'amua unachomaanisha.Kauli za bwana fulani zinakuchefua na kuufanya moyo wako ufukute,kwa hasira,chuki na majuto makuu.Utafanyaje ndugu,watamani ungekuwa na uwezo wa kurudisha wasaa nyuma usingefanya mzaha kwenye bokusi(ooh sanduku la kura).
Tena acha kabisa kuziangalia na kuzisikiliza taarifa za hbr hasa kupitia televisheni.Usijepatwa na maradhi ya moyo maana pindi ukikutana na kauli kama "fedha zitaendelea kukosekana hata kanisani",mara "atakayeketa fyokofyoko....au nimesikia kuna mtu anakatalia kisima(huko z'bar) huyo dawa yake ni kumtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.Kauli hizo zinatisha kupeperusha tabasamu angavu usoni pako!ridhika na ukipatacho jamii forum tu.Mambo ya kauli za makonda na j..ni...achana nayo.
 
Mimi taarifa ya habari hainichoshi napata kujua nini kinaendelea nchini lakini naishangaa hii serikali imejifanya ndio bongo movie siku hizi.:mad:
 
Wadau kadiri siku zinavyozidi kusogea na matukio yanayoendelea kutokea zikiwemo kauli nbalimbali hamu ya kuangalia taarifa ya habari inakwisha kabisa...sijui kwa wenzanagu hali ipoje...
Kunywa supu ya pweza na juice ya tende mkuu, itakusaidia kurejesha hamu.
 
Wadau kadiri siku zinavyozidi kusogea na matukio yanayoendelea kutokea zikiwemo kauli nbalimbali hamu ya kuangalia taarifa ya habari inakwisha kabisa...sijui kwa wenzanagu hali ipoje...
Mimi nikimuona ngosha kwenye nyuzi nabadilisha Chanel
 
Wadau kadiri siku zinavyozidi kusogea na matukio yanayoendelea kutokea zikiwemo kauli nbalimbali hamu ya kuangalia taarifa ya habari inakwisha kabisa...sijui kwa wenzanagu hali ipoje...
Mi nilisshasahau hata habar zwnyewe huwa ni saa ngapi....
 
Taarifa ya habari chanel zote zinapongeza mkulu,bora nimpigie simu kaka yangu Dr.Ayub Rioba nipige naye story.
 
Back
Top Bottom