Hata hizo islamic bank zinatoza riba kinachofanyika ni wanabadili jina la riba tu, kama unabisha nenda kakope hata laki uone kama utawarudishia laki tu
Kwanza watu wanafuatilia mambo ...na kujua kiundani ndipo huja kuyazungumza mbele za watu ..nani alie wahi kwenda Islamic bank na akakopeshwa fedha kama fedha ....kama yupo ajitokeze..