M mchakarikaji2016 Member Joined Dec 6, 2016 Posts 12 Reaction score 10 Jan 4, 2017 #1 Habari zenu.. Nakopesha pesa kwa riba. Riba ni asilimia 10 kwa mwezi. Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa. Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka. Dhamana ni lazima.
Habari zenu.. Nakopesha pesa kwa riba. Riba ni asilimia 10 kwa mwezi. Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa. Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka. Dhamana ni lazima.
B bibiinna JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 647 Reaction score 430 Jan 4, 2017 #2 Nakushauri uachane na biashara ya RIBA.Maandiko matakatifu yanatueleza jinsi Mwenyezimungu anavyoichukia riba.
Nakushauri uachane na biashara ya RIBA.Maandiko matakatifu yanatueleza jinsi Mwenyezimungu anavyoichukia riba.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jan 4, 2017 #3 ehe dhamana ni kituu gani au ?
M mchakarikaji2016 Member Joined Dec 6, 2016 Posts 12 Reaction score 10 Jan 4, 2017 Thread starter #4 Mulhat Mpunga said: ehe dhamana ni kituu gani au ? Click to expand... Kitu chochote chenye kuuzika
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,825 Reaction score 5,295 Jan 4, 2017 #5 Nikopeshe laki 5 ...fasta fasta
C chambutilah Member Joined Jan 28, 2016 Posts 31 Reaction score 45 Jan 4, 2017 #6 Unapatikana wap mkuu?
J Jakasaye JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 302 Reaction score 503 Jan 4, 2017 #7 Unapatikana vipi na wapi, nahitaji 750,000/=
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,695 Reaction score 41,857 Jan 5, 2017 #8 upo wapi mkuu mi nahitaji 1b
G Gonho JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 231 Reaction score 187 Jan 5, 2017 #9 mchakarikaji2016 said: Habari zenu.. Nakopesha pesa kwa riba. Riba ni asilimia 10 kwa mwezi. Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa. Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka. Dhamana ni lazima. Click to expand... Sasa wewe contact zako ziko wapi
mchakarikaji2016 said: Habari zenu.. Nakopesha pesa kwa riba. Riba ni asilimia 10 kwa mwezi. Mkopo ni wa muda mfupi ambao hautozid mwezi mmoja kulingana na kiasi cha pesa. Wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi walioajiriwa ndo wanaoweza kukopesheka. Dhamana ni lazima. Click to expand... Sasa wewe contact zako ziko wapi
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Jan 5, 2017 #10 Sasa tutakupataje or PM kama kawa?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jan 5, 2017 #11 aisee mbona umepotea au msingi ulikuwa mdogo tunakungoja upatie mkopo tafadhali
D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 6, 2017 #12 Duh jamaa kapotea pm hajibu
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jan 6, 2017 #13 DAVIES said: Duh jamaa kapotea pm hajibu Click to expand... Haha anakusanya nguvu