Habari wakuu, nina pool table zaidi ya 2 ninazikodisha dar es salaam, ni zipo kama mpya tu
Nature ya kazi yangu imekua changamoto kwangu kuzisimamia
Kama una eneo nzuri na ungependa kufanya biashara ni PM
Rental fee ni mazungumzo itakua kati ya 100K to 120k kwa mwezi
Asanteni