gilishiphilomena
Member
- Feb 11, 2019
- 32
- 40
Kwa ombi lako, nimekukubaliau, Karibu sanachukua 50000 mkuu nije kulima bamia, hoho, na pilipili
Umekubali haraka hadi raha
Umekubali haraka hadi raha
😂😂😂Umekubali haraka hadi raha
bure?Limeni tuje tule
Sawa lakini kikubwa ni kutokuogopa kujifunza na kukubali kufundishika, tukiogopa hivi basi hatutakula kabisaa
tutanunua kwa bei ya kawaida kbs😊bure?
,😀ulanguzi nayotutanunua kwa bei ya kawaida kbs😊
😉😉,😀ulanguzi nayo
utakula pili pili tu
😊😊😊mbombo ngafuutakula pili pili tu
chukua 50000 mkuu nije kulima bamia, hoho, na pilipili
Kuna chemchem mkuu, Hakuna wanyama, lakini sasa nimemaliza labda mmoja wao aghairi kulimaMaji yapo ya kutosha?ni ya mto au kisima? vp kuhusu wanyama km ngedere wapo?