Huyu jamaa ukiacha vimashuti uchwara na damu ya kukubalika kama binadamu hakuna mchezaji wa maana pale..ni wale wachezaji wa nyakati kadhaa tu. Mudathiri Yahya , Yahya zaidi, na wengine wengi ni wachezaji wazuri mno zaidi yake
Huyoo ni overrated mkuu , niamini Mimi , kuna short term wonder players, ndo kama huyo jamaa, ningumu kwa wachezaji wakitanzania kumaintain form kwa zaidi ya misimu 4, huyo dogoo kachoka..nambaya zaidi ubora wake kiuchezaji uko sehemu mbili tu mashuti na assist,vitu ambavyo hafanyi tena