Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Duh pole
 
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi??
 

Ulitibiwa Ila tatizo ni kwamba vile vichocheo havikutoka / Toxin

Katika Nature
Vidonda au ngozi kuwasha hutokana na Hot toxin invasion or Hot dampness toxin to arrest skin to make blood blockage and prevent nutrients and Oxygen kufikia eneo la vidonda ili kuponya .

Hospitali watasaidia kukausha lakini vile vichocheo hawawezi kuvitoa , hata labs haziwezi detect hiyo maana hutokana na Energy imbalance ni Toxin

Katika nature tunaondoa hiyo toxin au kichocheo cha tatizo , Kisha lazima kurudishia nishati iliyopungua ili kuleta usawa na kufanya afya kutokea , tatizo hilo haliwezi rudi !

Cont : +255757577995 www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Dokta mimi nina swali moja tu, nina ndugu yangu, jinsia ya kike ana miakaa 32.yeye ni mwoga kushiriki tendo la ndoa anaogopa maumivu na huwa anajikuta kesha bana miguu je r hili tatizo ni nini na je suluhisho lake ni lipi??
Dokta mbona mpo kiimya
 
Msaada wadau hili tatizo la mguu kutokwa na kama vipele na uvimbe... Chanzo na tiba ni nn Maana tumeenda Sana hospitals zetu tunapewa tuh dawa na hatuambiwi chanzo wala ni ugonjwa gani.
 

Attachments

  • DSC_1080.JPG
    1.5 MB · Views: 7
Good work, nimependa sana majibu yako doctor, mimi kijana wa 33yrs, natumia dawa za pressure kwa muda sasa, nataka kujua zinafanyaje kazi na je zinapelekea kupona pressure kweli?
 

Attachments

  • IMG_20240424_200129_149.jpg
    4.4 MB · Views: 6
  • IMG_20240329_114653_576.jpg
    4 MB · Views: 7
  • IMG_20240329_114634_712.jpg
    4 MB · Views: 6
  • IMG_20240424_200129_149.jpg
    4.4 MB · Views: 6
  • IMG_20240329_114653_576.jpg
    4 MB · Views: 5
Huyu mgonjwa pia Ana tatizo la presha ya macho inawezekana ikawa inachangia??
Ndiyo.Unaposema presha maana yake chanzo kikuu huwa ni kwenye moyo.Moyo wenyewe pamoja na mishipa yake mikuu inayotoa ama kuingiza damu kwenye moyo pamoja na mishipa mingine midogomidogo inayosambaza damu sehemu mbalimbali za mwili.Vyote hivi vinatakiwa kuwa kwenye utimamu wake,vinginevyo kasoro mojawapo katika hivyo inaweza kusababisha presha.Lakini pia kuna magonjwa ya kisukari ambayo nayo huchochea utendaji hafifu wa neva za macho na hivyo kusababisha presha ya macho na pengine uono hafifu.
 
Dr Restart Shida huwa inakua nini mpaka mtu akitembea umbali mrefu wastani, anapata tatizo la kuwashwa na miguu, akijikuna hajui akune wapi sababu akikuna hapa panawasha pale. Muwasho unaacha dakika chache mbele baada ya kuacha kutembea.
 
Dr Restart Shida huwa inakua nini mpaka mtu akitembea umbali mrefu wastani, anapata tatizo la kuwashwa na miguu, akijikuna hajui akune wapi sababu akikuna hapa panawasha pale. Muwasho unaacha dakika chache mbele baada ya kuacha kutembea.
Pole.

Unapotembea mirija ya damu hutanuka ili kuruhusu usafirishaji wa damu kwenda miguuni.

Na kutanuka huko kunapeleka taarifa kwenye ubongo na kuachia kemikali asili iitwayo histamine..

Kemikali hii husaidia mwili kutochoka haraka. Lakini muda mwingine husababisha huo muwasho. Na ndiyo maana ukitaka kukuna huku, inakimbilia kwingine. Inakuwa kama mzio (allergy)hivi.

Unapoacha kutembea, maana yake ile mirija inarelax na kemikali hiyo huacha kuwa released na ndiyo unaona muwasho unapotea.
 
Mbona wengine hawapati,
 
Juzi nilispray ndan, dawa ya mbu rungu, Sasa nilipolala asubuh nilipoamka nilipata mafua makali na kichwa kilinigonga sana,

Mafua yamepona ila kichwa kinanigonga sana,hadi mishipa inatoka

Itakua kwasababu ya hiihii dawa au niliyo spray au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…