Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo
A Poison Tree, yaani
Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili.
Katika maisha tunaotesha miti ya sumu tukikusudia kuwaumiza wengine. Lakini badala yake, inatudhuru sisi wenyewe. Na pale adui anapogundua ukweli huo, anaanza 'kutusanifu'.