Najutia kubalehe..

u need more experience in lov affairs
 
sasa unajutia kumpenda asiyekupenda au unajutia kubalehe.....
 
Kaka ni ngumu xana kujua wanachokitaka hawA kina dada wa digital kwa sababu wanatofautiana xana, anachokitaka A sio anachokitaka B, tusikimbilie kudhani wanataka pesa tujitahidi kuwasoma mapema ili kujua nini anataka huyo uliyenaye INGAWA PESA INA NAFASI KUBWA SANA KATIKA VITU WANAVYOVITAKA, Kitu kingine kina kaka wa xaxa wengi hamgegedi vizur hili ni tatizo ndo maana hawa watu wanakimbia, TUJITAHIDI UJUZI NA KUPIGA ANGALAU GOLI NNE HADI SITA ZA CONDOM HAKIKA USIPOLETA UZINGUAJI WW BOY YEYE HAWEZI KUKUACHA usisahau condom ili kama itatokea bahati mbaya mkaachana isiwe na madhara makubwa.
 
chuoni kuna kitu kinaitwa.,...

''kichocho cha pus*sy.''..
 
Mkuu nakupa pongezi..mzeiyarr unahonga?? vijana wenzio hatuhongi kabisa..niliwahi ambiwa hichi kitu na manzi mmoja(ex) baada ya kuachana nae..nilimwambia daah sasa hivi nimepata manzi mwingine lakini haniombi hela ka wewe(ingawa sikuwahi mpa hata siku moja ni mzee wa sina daile..alichonijibu daaahh "it seems huyo ulonae anakupenda kwa dhati ndo mana hata hakuombi hela.."jembe hapo ni hamna kitu..ni bora uamshe..tuuuu...overrr...!!!
 
Pole xana ndugu kwa msala ulio kusibu,najua ni pigo lakin vumilia 7babu we ni mtoto wa kiume.ki2 cha msing we achana nae !kumbuka kuwa kumkosa yeye sio 7babu ya kuangaika kwako penginepo amekunusuru ktk mambo meng km vle magonjwa,ila nashukuru xana nami nmejifunza,Peter lusambo maurus teachers college sumbawanga
 

hakika nimekuelewa vyema bidada,aksante kwa ushauri wako
 

pamoja mkuu
 
isjekuwa hofu zako ndo znakutesa?? Yawezekana umemeza yale mawazo kwamba mpenzi wako akiingia tu chuo umemkosa..kama sivyo na umeshajiridhisha na kubadlka kwake pasi na shaka kusanya vrago, chapa lapa
 
Pole kwa masahibu.
Wanawake walio wengi hawajui nini wanataka hususan anapotokea mwanaume mwenye msimamo.
Kupata mwanamke mwenye msimamo na kuishi nae ni neema ya pekee.
Mkalishe kitako huyo manzi wako na muongee kwa lugha za mababu zenu. Mtafikia muafaka.
Ikishindikana sign out. Mitandao ya jamii iko mingi. Facebook ikizungua unaingia twitter.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…