Najutia kubalehe..

wewe mwenyewe inaelekea hujui thamani ya mwanamke kwako??mapenzi na uchi wa mwanamke yanaingiaje hapo??na je vp elimu yako maana unasema tangu aende chuoni amebadilika usijekuwa umeishia std 7 unataka motto ana bachelor utaumbuka ndugu!cha msingi pigana ukamate noti za kutosha utabamba demu yoyote unayemtaka inaonekana kuna kaharufu ka kutotoheka kimapato!KWENYE KIZINGITI WEKA RUPIA NDUGU.
 
Chaajabu tangu afike UDOM imekua shdaaaa.. Haeleweki hata kidogo, amekua mtu wa kutaka big results now,migogoro daily,nikimuuliza anajibu utumbo mtupu,akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back kama amezipata anakaa kimya,mpaka umpigie umuulize kma ameipata au lah,


MSAADA unao itajika utokane na maswali haya plz.?

Hivi wanawake wanajua kweli wanacho kitaka toka kwa wanaume juu ya mapenzi.?
Yah wanawake wanajua wanachokitafuta kwa wanaume sema wanaume wanakuwa wamechelewa kutambua mwanamke alikuwa anatafuta nini juu yake na mwisho kuishia kuweka record duniani walioana azania front sherehe diamond jubilee ....

Nifanye nini ili niweze kumtambua mwanamke anaejua thamani ya uchi wake kwa mwanaume mwenye malengo nae ktk maisha.?

ANS:
HAKUNA MWANAMKE ASIEJUA THAMANI YA UCHI WAKE MKUU NA NDIO MAANA UKUMWOKOTA PALE AFRICASSANA....KILA MWANAMKE ANAJUA THAMANI YA UCHI WAKE KINACHOCHIMBUKIA HAPO NI MATUMIZI YA HUO UCHI .
1..KUNA WANAOFANYA KITEGA UCHUMI CHAO MAISHA YA KILA SEKU YAENDE
2.KUNA WALIOAMUA KUUWEKA TU MPAKA WAJE KUKUTANA NA WAUME ZAO WATARAJIWA BILA KUJALI MWANAUME AMESHABIKIRIWA AMA LAH
3.KUNA WANAOUTUMIA KWA MALENGO MAALUM IKIWEMO KUPATA SIFA AMETEMBELEWA NA MTU FULANI MKUBWA AMA MSANII FULANI NA MENGINEYO MENGI YA KILEO ..MF MMOJA
TU JUZI NILIKUWA PALE POSTA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX KUNA MGAHAWA WANAOJUA AMEKAA MZEE KABISA AKASEVIWA CHAKULA AKAANZA KUMTONGOZA MHUDUMU GAFLA AKAMWOMBA NAMBA YA SIMU BAHATO MBAYA AKATOA...AKIWA ANATOA AKAMWAMBIA UNAJUA MTANDAO WA JAMII FORUMS...MWANAMKE AKASTUKA SIUJUI AKASEMA NITAWAPONGEZA SANA HUDUMA ZENU NIPE NAMBA YAKO NA JINA LAKO
SO MOJA KWA MOJA NAWEZA KUSEMA KITENDO CHA KUWAMBIWA ANAANDIKWA MTANDAONI BINTI KILIMFANYA ATOE NA SIMU KABISA SASA KINACHOFWATA NI KUTOA HII THAMANI YAKE YAANI UCHI

4..WAPO WANAOTUMIA UCHI WAO KWA MALENGO YA KUTAFUTA MAISHA NA BAADAE KUACHANA NA BISHAARA HIZO NA KUWA MAMA MWEMA MWENYE FAMILIA...HAWA SIWEZI WASEMA VIBAYA MAANA HATA NDUGU ZETU WACHA WAZAZI WENU MNAWAKUTA WAMEKALISHA MAGARI YAO PALE AFRICA SANA WAKISUBIRI WANAMALIZA SAANGAPI WAONDOKE NAO...

MWISHO KUKUJUZA MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU NA SIO THAMANI YA UCHI WA MWANAMKE KAMA UNA MALENGO YA FAMILIA


Nb.: naitaji michango yenu yenye busara juu ya hili jambo,wote mnakaribishwa.
MICHANGO MKUU UTAIPATA MINGI TU YENYE HEKIMA KAZI KUMEZA

Cc: mods siitaji kinyongo na nyie mana hamchelewi kuondoa uzi nazo tupiaga.

ANS:
MODS UJUMBE UMEWAFIKIA WATAUFANYIA KAZI ..YAANI MCHAKATO WA HOJA YAKO BADO UNAENDELEA AMA KUWEPO AMA LAH NA KAMA NILIVYOIKUTA MADA MEANS WAMSIKIAKILIO CHAKO

Finito..


akiomba kiasi cha mkwanja ukimpa harudishi feed back@@@ haahaa ahaaaa ma cag wengi
Hakuna

CAG kwenye mapenzi bana unapompa hela mwanamke yule ni lulu lulu ina haki ya kuamua kusema ama kutosema na kwenye mapenzi aiitaji hata kuleta balance sheet ..umetoa we fanya kama wamarekani wamemwaga hela zo za ukimwi tanzania usifwatile sana
mpe subira wakristo tunasema innalilah na maswabarina kila mwenye kusubiri yu pamoja na allah embu
 
kama tupo nae UDOM huyo co wako tena! sasa ni mali ya chuo na chuo chenyewe ndo sisi
 

nimekuelewa vyema mkuu pamoja sana
 

nimekuelewa mkuu..
 

sipingani na uyasemayo,binafsi naingia mwaka wa3 hapa st.joseph uni-{bachelor},yeye anaingia mwaka wa pili udom, na thamani ya mwanamke naifahamu nikiwa kma mtoto wa kiume mkuu.
 
kama tupo nae UDOM huyo co wako tena! sasa ni mali ya chuo na chuo chenyewe ndo sisi

hongera kwa hilo,nadhani kma msomi nawew ulipaswa kujifunza mengi kutokana na post za watu mbali mbali humu ndani,lakini sijui kichwani kwako unawaza ki2 gani.?
 
1. Kuhusu mwanamke anataka nn ktk mapenzi»» idadi kubwa ya mabint wa skuhz hawajui wanachokitaka kwa mwanaume. Atataka pesa utampa, badae atamuona mwenye gari atataka gari, baadae atamuona mtanashati atataka mapenzi ya dhati bila kujali pesa, atafika chuo atataka mtu ili kuwa anamsaidia ktk masomo, atamuona mfanyabiashara aliyefanikiwa atataka kuwa na mfanya biashara.... Ni ngumu sana kutimiza matakwa ya baadhi ya wanawake.
2. Kuhusu thamani ya uchi»» thamani ya uchi kwa wanawake wengi iko ktk mtazamo tofauti sana, wengi huona uchi kama kifaa mbadala kwa kila tatizo linalomkuta na kila hitaji lake, ndiyo thamani.
Kwa ww mwanaume ukimtunza bila kuzini nae ndipo thamani huonekana, japo hii ni nadra sana kwa vijana wa sasa
 

nimekusoma mkuu,kwani nimejifunza jambo hapo juu
 
huu uzi kama bongo muvi title, yaliyomo,
malizieni wenyewe
 
Usihofu mkuu, endelea kupata uzoefu ktk sekta hiyo. cheki kwingine tu hapo kilichobaki ni historia tu.
 
Hayo n mapito 2 na always wanaopendwa kwa dhat hua wanasumbua kidogo..bado hajajielewa na kujua thaman ya penz lako..ila yakimkuta atalia na kupiga magoti..
 

Ajue keshaliwa na nadhani analitambua hilo
 
huu uzi kama bongo muvi title, yaliyomo,
malizieni wenyewe

muda mwingne yatupasa kuandika title ya kuvutia ilmladi uweze kuvutia watu wajue kuna ujumbe gani mkuu.
 
Ha ha haaa! hiyo ni constant kama pia na haina kupinga

kama umesoma pure math advance utakua unaelewa," uki differentiate constant jibu huwa zero"
 
usitafute thamani ya uchi wa mwanamke hutaipata tafuta mwanamke anaejua thamani ya utu wake hapo utampata mwanamke wa maisha yako

Well said! Hamna haja ya kumng'ang'ania huyo asiyejua thamani yake! Kama yeye hajui haina maana wote hawajui!
 
Dalili zinaonyesha hana mapenzi na wewe huyo! Achana nae hakuna ushauri tutakaokupa wa kumfanya aelewe wewe unampenda kiasi gani na una mipango mizuri ya future naye.
Si kila utakaempenda wewe lazima na yeye akupende. Si kila utakaemtakia mema lazima aelewe ivyo. au na yeye akutakie mema.
Usishangae ni kawaida kaka yangu. Nadhani hata kwa upande wako kuna wanawake chungu mzima wanakupenda, na wanakutamani hata ufunge nao ndoa,
lakini hata ungepewa na mali juu, usingeweza kuwakubali!
Chapa lapa tafuta wa size yako, atakaekupenda na kukuthamini. Wapo wengi tuu!
 
Unahisi kichwa chako kiko sawa kweli?
Ungejua hata robo ya thamani ya mwanamke usinge post hili povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…