Najutaaa kuonekana wa kishua

Jirani tu wewe ushaweka mambo kibao mkuu mpende jirani yako kama nafsi yako!
 
Acheni kuchagua Topic we msaidie if you like if you don't like kaa kimya.
 

Sijaona mantiki ya kumjibu mwenzako hivyo mkuu,au kuna kitu kimekuchanganya kazini? KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Siku ingine mwambie hizo sehemu za mikate na mazagzaga amuelekeze mama watoto maana wewe si mtu wa sokoni kivile sana
 
sasa ushua wako hapo ni katika nini labda?
 
Vijambo vingine havihitaji hata kuja jf kama mtu una akili timamu.
 
nahisi hujapat uashuri bado that mins ur story is not intersting iko kipersonal zaidi...
 
kila mtu ana haki ya kueleaza hisia zake sasa ushua wako unatuhusu?
 

Duuuhhhh!!! Lovebird umenikumbusha "coursework"!!! Mzee wonders!
 
Duh!kweli kuelekea 2015 tutashuhudia vituko vya kila aina.sasa hapo ushua wako uko wapi mkuu?
 
Mara hooo ww wakishua mara hoo anataka kukutoatoa outing na jim..acha bra bra nyingi ww..

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 

uo ni ushamba...huna tofaut na dayamondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…