Daaaaamn....Samehere Mr Who Cares?2 loooowwwwww4 meeeeeeeeeeeeee
Sasa inahusu nini?wewe muhaya?yani miafrika bwana sasa yeye kuonyesha anakupenda wewe unakuja kumsanua huku je nayeye kama yumo humu?undhani atakuwa anajisikiaje?acha ushamba au nia yako nikutuambia umepanga aptmnt?nimekuona wa hovyo hovyo!wewe unaweza ukaadithia utupu wa girlfriend wako!
2 loooowwwwww4 meeeeeeeeeeeeee
hapo juu umemaanisha nini,INA MAANA WAHAYA NI WATU HOVYO NAMNA HIYOsasa inahusu nini?wewe muhaya?yani miafrika bwana sasa yeye kuonyesha anakupenda wewe unakuja kumsanua huku je nayeye kama yumo humu?undhani atakuwa anajisikiaje?acha ushamba au nia yako nikutuambia umepanga aptmnt?nimekuona wa hovyo hovyo!wewe unaweza ukaadithia utupu wa girlfriend wako!
unafikiri huyo ni mwanaume kweli?????????????pole yao walioolewa na watoto wakiumeeeeewatu wengine wambea kama nini, hili c jambo la kuleta hapa jukwaani. Huyu kama ana mke inaonekana siri zote za faragha huwa anazitoa nje.
Yani kukuambia hivyo tu ndio umekuja kuwaeleza huku?