Najuta kutongoza wanawake wa Dar!


naskia lipumba kaachia kiti chake cuf
 
Hahahahahahaha😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Hivi unadhani hao wanawake hawaingii jamiifor??acha maigizo kaka...ila tunashukuru kwa kutukumbusha hayo mambo..
 
kosa lako mwenyewe .......
wakati unakula utam ulikuwa hutambui kwamba hayo maswala yanaweza kutokea?
 
mtafute babu seya mapemaaaaa akupe eksipiliensi ya lupango
 
jiue mwanangu wanazingua kichizi...mimi mwenyewe nilijiua kama wewe
 
Uneniangusha sana...
Upigwe tu ee.. Maana hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…