Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

Pumbv.... wewe miaka 60 size yako. Kwani ulitembea na watoto wa shule ili iweje. Nipe adress yamo uliopo niwalete polis ss hv.
 
yaan mkuu bora tu ujiue la sivyo utanyea debe miaka 60.halafu bado kidogo utabunguliwa
 
We ndio Zuzu; kichwa box..,na possibly unaweza shindwa kumanage na kusimamia maisha yako.
 
Tubu umwamini Bwana Yesu utapata jibu sahihi la nini cha kufanya vinginevyo hakuna mwenye majibu sahihi
 
Sasa wewe unayetembea na wanawake wanne Kwa mpigo tukuiteje? Malaya? Player?
 
Umekuja kututangazia wewe ni mwasherati uliyekubuhu?

Ushindwe kutulia wewe usingizie 'wanawake wa Dar', ngoja waje hapa sasa wakujeruhi!
 
Umepima DNA? umejuaje kama hiyo ni mimba ya wewe?. Wape posho zao watakulinda
 

umenichekesha sanaaa..
Mwanzoni uliwasifia kwa kuwa laini na kutokubali kutumia kondom au uliwasifia kwa kuwa wanavaa nguo moja ndani au uliwasifia kwa weupe walionao au??

Sasa hoho ubaya wao umeuona kwenye lipi kwa kuwa wamekataa kutoa mimba au kwa kuwa umejikuta wote wana mimba yako

tatizo lao liko wapi

kweli tembea uone
 
sasa kavu ulitaka wasikulengesheee...wengine hata hawajui siku za hatari,...ndio ujifunze kulaleki..karudie tena kwani wakiwa tabora ndio hawatapata mimba........
 

kama uweza kutunga story kama hizi nakushauri uandike kitabu. utapiga hela sana
 
Komaa tu hapo hapo ukonga, segerea au keko kila lakheri na maisha mapya
 
Mkuu we subiri upigwe tisini,wanafunzi 2 @30 na mwanachuo 1 30 = 90 nadhani km unamiak 20 ukitoka 110,naona km utafia jela.Waage ndugu zako kabisa.
 

Dume la mbegu hahahhaaaaa utajutraaa
 
Kaka ukipenda boga penda na Maua yake hayo ndio maua yenyewe yameshachanua chamsingi komaa kuyamwagilia yakomae vzr ili nyuki waje watue kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…