Najuta kuoa mwanamke mlokole

Msafara wa mamba na kenge wamo, sasa wengi huenda kwakina kenge, kuna kanisa moja mchungaji huwafukuza watu waende nyumbani yeye hafugi watu ibada ikiisha watu warudi majumban
Kweli...hawawezi wote wakawa wabaya..lakini Wewe unaafiki afanyayo mchungaji wa kanisa hili?..mpaka kufikia hatua yakutaka kuvunja ndoa za waumi

Mimi Kuna wachungaji huwa nawasilisha kabisa japokua Mimi Ni Muisilamu.... Nasikiliza mahubiri yao.
 
Tatz mnakuwaga wabishi mpaka yawakute bnafsi niliwahi kuwa na mwanamke wa dizaini hii inahitaji moyo kuvumlia daily kanisani wachaa niishie apa
 
Channel ya Mwalimu Mwakasege huko Telegram baada ya kufunga magroup yote ya WhatsApp [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Pole sana mkuu naona ulikurupuka na ndo ujue sasa kwamba sio kila aitae bwana atarithi ufalme wa Mungu[emoji41]
 
Kweli...hawawezi wote wakawa wabaya..lakini Wewe unaafiki afanyayo mchungaji wa kanisa hili?..mpaka kufikia hatua yakutaka kuvunja ndoa za waumi

Mimi Kuna wachungaji huwa nawasilisha kabisa japokua Mimi Ni Muisilamu.... Nasikiliza mahubiri yao.
Kufikia kuwashindisha watu kanisani hapana, mie mwenyewe nikiwa kanisani muda ukipita wakawaida hukosa amani kabisa , sipendi imani yangu kumkwaza mwingine, habari za mikesha nawaachia huko wengine, ndiyo maana Bible inasema mtumikie MUNGU ungali kijana ukiingia maisha ya ndoa mmm nimtihani mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…