Najuta kuoa mwanamke mlokole

Ukisema nachukulia simple unamaanisha nini, mimi nimeshauri akae nae wazungumze jamaa atoe msimamo tatizo liko wapi naishi kwenye ndoa niliyopitia nimagum kuliko hili landugu yetu
ulitombewa au
 
Pole sana mkuu, kama unataka kurudiana nae hakikisha abadilishe hilo kanisa. No more!

Makanisa yanayoomba salary slip, hapo hakuna dini kuna biashara inafanyika.
Sasa salary slip je! Kama hana kazi ya kupata salary [emoji3],usipojielewa unabebwa na upepo wa kisurisuri
 
Sawa hatukatai ndio niambiwe nipeleke hadi salary slip!?
Ndio amwachishe mtoto kunyonya[emoji846]
 
Vipi mrejesho unahitajika, kumbuka hiyo laana ya Rachel, nimecheka pale shemeji yako alipokuponyoka huku katenguka kiuno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka utazani sijawahi usoma haa haa
 
Hawa watu ni shida. Kwanza wanajiona wako wakamilifu hawakosei. Pili wanamuamini mchungaji kuliko mtu mwingine yeyote.
Yaani ukiwaangalia unaona kabisa huyu hayuko sawa kiakili. Ila yy anakuona ww ndiye una mapepo.
 
wewe unaonekana hujaelewa kabisa huu uzi.
Kwani Mungu ndio alisema usikae nyumbani kwako ushinde na kukesha kanisani masaa yote?Mungu ndio alisema hata mtoto wako usimlee masaa yote uyamalizie kanisani?Mungu ndio alisema ukipata hela zote uwapelekee wachungaji wanunue magari na kujenga majumba yao?funua akili
 
Duh, pole sana ndugu! Najua haikuwa lengo lako kutoa vipigo kwa mkeo, bali ni 'frustrations'! Yaani unakua na mke anayemtii mtu mwingine zaidi ya mumewe! Unakuwa na mke anayetelekeza huduma yake kama mke na badala yake anakimbizana na mihemko! Huyo kweli anahitaji akae benchi kwanza mpaka ajitafakari kama alitaka jina tu la kuwa mrs bila kutimiza majukumu yanayohusiana na cheo chenyewe!? Hayo mazingira tu ya kusikiliza mashauri mengine nje ya ww mumewe ndio yalitufikisha hapa tulipo maana Eva/Hawa alipoamua kusikiliza wengine nje ya Adam, madhara yake mpaka kesho hayafutiki! Haya makanisa mengine bana! Ndoa na iheshimiwe na watu wote! Hata Mungu anaheshimu ndoa!
 
Mimi...niliona Clio huko Youtube... Wanayofanya waNigeria Ni Noma
Msafara wa mamba na kenge wamo, sasa wengi huenda kwakina kenge, kuna kanisa moja mchungaji huwafukuza watu waende nyumbani yeye hafugi watu ibada ikiisha watu warudi majumban
 
Hivi ww unaelewa maana ya ndoa? Ni taasisi na mamlaka kamili! Inayolindwa kwa wivu mkuu! Huyo dada amekuwa brainwashed na anaweza ishia motoni kwa kutelekeza ndoa yake!
 
Kwa haya yaliyosemwa na mhusika kama ni kweli unaona huyo mke yupo sawa eeh!?
 
Aisee!!!,Nipe namba za simu za mke wako ili niyajenge haiwezekani akakufanyia hivi.
 
Huwa wanaambiwa kuwa akiona mumewe anamuinukia hapo ujue pepo linamtumia mumewe ili aikane imani! Hivyo mke inabidi avumilie yote hata vipigo pia ndio vinamuongezea ukomandoo wa kiroho! Kimsingi huwa wanaaswa kumsikiliza zaidi 'nabii'/mchungaji kuliko mume! Hapo ndio huwa chanzo cha mavurugu yote!
 
Mke anapigwa kwa kupelekewa moto kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…