Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,270
Sasa mimi nilkuwa sijui hayo mambo,nilkuwa nimeshakalili hz tv za chogo,nilihangaika sana,siku ya kwanza nilishindwa kabisa mpaka nilipokiona hcho kiwaya ndo nikashtukaNyingi ziko hivo. Kuna kijiwaya fln kwa mbele ni earphone jack af kwa nyuma kinatoa red na yellow nadhan ndo unaweka kwenye subwoofer
Mleta mada ishi humu.Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
View attachment 2498559
Tafuta hilo tundu la kuchomeka haka kama la earphome,litakuwepo tu.kisha malizia hizi zenye rangi ktk sabufa yako kwishaaa.
Sasa mimi nilkuwa sijui hayo mambo,nilkuwa nimeshakalili hz tv za chogo,nilihangaika sana,siku ya kwanza nilishindwa kabisa mpaka nilipokiona hcho kiwaya ndo nikashtuka
Taja model yake tukusaidie
Ipo ila ujui tu weng STAR X huwasumbua hilo AUDIO OUTPUT ipo unles kuwe na HDMIARC ndo ikosr AUDIO OUTPUT
je hiyo ina HDMIARC au aina km aina
AUDIO OUTPUT ipo
Hilo tundu la earphone si ndo output yenyewe, yeye kasema haina output.
Niliwah nunua samsung miaka fulani, nayo haikuwa na output, sema ni vitu ambavyo huwa tuna overlook kwenye manunuzi.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Connect kwa bluetooth (tv + woofer)
Naomba elimu ya hii. Zinafanya kazi kama TV zingine?Nunua android tv box hapo kwisha kazi. Ving'amuzi utahangaika coz kuna format zinaweza zingua kuplay.
Sidhan hata kama zinazidi dola 40 kwa aliexpressView attachment 2498306
Mimi natumia hicho na iko poa sana......Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi
Mimi ni muumini wa Samsung.Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi
Hio inafanya tv ya kawaida iwe kama android tvNaomba elimu ya hii. Zinafanya kazi kama TV zingine?
Hyo n two in one haipoo[emoji55]
Mnatoaga wapi ujasiri kutoa pesa nyingi kununua brand ambazo huna uhakika nazo..electronics just go for SONY,LG or SAMSUNG basi
Inabidi sasa utusaidie picha ya hiyo terminal station ya huko nyuma ya tv yako.
Sina uhakika,km ina option ya bluetooth kwenye setting inawezekanaSio smart tv, vp inawezekana??