Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 283
PichaNajuta kuchukua star X [emoji17][emoji55][emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo [emoji706] ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY
Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa
Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music [emoji445] yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection
So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!
Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu[emoji706][emoji706]
Hilo tundu la earphone si ndo output yenyewe, yeye kasema haina output.Kuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Ipo ila ujui tu weng STAR X huwasumbua hilo AUDIO OUTPUT ipo unles kuwe na HDMIARC ndo ikosr AUDIO OUTPUT
je hiyo ina HDMIARC au aina km aina
AUDIO OUTPUT ipo
Connect kwa bluetooth (tv + woofer)
Hakuna electronic utayonunua na kuuza kwa bei ile ileKama ni inch 43 kushuka chini ukikaa nayo hadi mwezi wa sita utauza bei ya hovyo hautaamini
Km ni smart tv washa woofer na uset Bluetooth then nenda kwenye setting ya tv tafuta bluetooth then connectHii unafanyaje?
Nyingi ziko hivo. Kuna kijiwaya fln kwa mbele ni earphone jack af kwa nyuma kinatoa red na yellow nadhan ndo unaweka kwenye subwooferKuna moja nipo nayo siku nainunua nilihangaika sana kuconnect hvyo unavyosema baadae ndo nikaja kukiona kitundu kama cha earphones/headphones ndo kinatumika kama output ya sound na hii tv ilikuwa na kiwaya kidogo kinachounganishwa na zile nyaya mbili(nyekundu na nyeupe) za kwenda kwenye subwoofer
Nunua android tv box hapo kwisha kazi. Ving'amuzi utahangaika coz kuna format zinaweza zingua kuplay.Najuta kuchukua star X [emoji17][emoji55][emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo [emoji706] ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY
Sasa kilichokuja kuniboa na kuni suprise n kwamba haina direct connection na SUBWOOFER yan huez connect nyaya moja kwa moja kutoka kwenye subwoofer mpaka kwa TV maana ina input tu haina outputs unless utumie king’amuzi daah nlikasilika nkajua tv mbovu nkarudisha dukan jamaa ndo kudai ivo kwamba version mpya ya star X zko ivo nami nkafatilia nkakonfem so ikabid nitulie tu
Coz ile tv n mpya till today inakaratas nkasema hata nkikurupuka kuuza ntapata hasara tu maana nlinunua kipind ambacho tv zko juu sana ila nahs ntaiuza ila sio sasa
Kwaio njia pekee ambayo inaeza kupa connection ya tv na subwoofer ni king’amuzi daah sasa hii ishu imeniboa sana coz mm nna mzuka na music [emoji445] yan imenikata stimu kabisa nlikua sna ata mpango na king’amuzi ila imenibidi nifanye hivyo nataka nichukue DSTV ili ata muda mwingne niwe naweka flash kwenye king’amuzi pale napata ile direct connection
So sad, nmeulizia tena naambiwa kwamba king’amuzi cha DSTV huwa kina sehem ya flash lakini huwa hai function?!
Et wajuzi hasa wa DSTV kuna ukweli wowote katika hili ??maana nazidi kuzima stimu[emoji706][emoji706]
Ni kweliNajuta kuchukua star X [emoji17][emoji55][emoji2418], of course iko vzur Quality HD, muonekano mzuri deep black (margin nzur + kioo) zote n deep black sio unakuta margin nyeus kuliko kioo [emoji706] ishort iko poa nadhan inafatia baada ya hizi zinazo tembelea brand name SAMSUNG, LG,HISENSE labda na SONY