MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Exactly my point my dia."Kujisitiri" unakokuzungumzia hapa ni kupi? Maana kila mtu ana tafsiri yake kulingana na sababu mbalimbali. Hata hivyo nitakujibu kwa namna ambayo ninadhani unamaanisha. Ni kwamba kwa upande wangu ni mara nyingi sana nimewaangalia mara mbili mbili wanawake "waliojisitiri" lakini pia ni mara nyingi sana nimewaangalia mara KUMI KUMI wanawake wanaovaa nusu uchi.
mkuu hivi mtu timamu anaweza akatetea upambavu wa namna hii . Kweli hii ndo maana ya great thinkers kuchangia kila thread au kwa sababu we dare to talk openly imekuwa shida . Dada zetu badilikeni ukweli ni kwamba mmepotea njia rudini kundini jivueni magamba na jing,oeni meno kabisa kwenye hili mi siwaungi mkono kabisa.wakuu,
kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini wakiwa na mavazi yanayoooneyesha waziwazi miili yao kama vile matiti, mapaja na sasa baadhi wameanza kuvaa nguo zinazoonyesha hata shanga viunoni. Hata bungeni sasa ugonjwa huo umebisha hodi na kukaribishwa kwa kishindo. Kuna picha kwenye jukwaa la jamii photos inayoonyesha dada mmoja akiwa kwenye club moja huku makalio yote yakiwa nje kabisa.
Jamani akina dada chondechonde wanaume kama sisi madume ya mbegu mnatutesa jamani. Tutaangamia wenzenu. Hivi serikali haioni tatizo hili! Na tamwa je?
Nemo nilipotea kidogo si unajua mambo ya man U vs Chelsea. Anyway ni kwamba nikiwa kama mwanaume I have a choice, lakini sometimes kama kuna some other xtremely attractive stimulus aside my judgment can be compromised. Actually it happens a lot.Da Womanizer:
Thats ok, but then again you are still stuck on that one sentence. Maybe I should ask you this, do you not believe that you as a man have a choice of whether or not to persue a girl? ...........If the answer is yes, then my case is rested if you think not, then pls advise why , and we will discuss this further?
Utakuwa hujanisoma vizuri hapoa MJ1. Ujue mimi huwa nakubali sana michango yako lakini katika hili unakosea sana. Jaribuni kuelewa ni kwa namna gani ubongo unafanya kazi. Unajua kuna kitu kimoja wengi wetu aidha hatujui au tunafanya makusudi na kitu chenyewe ni namna viashiria vya nje vinavyoweza kuathiri maamuzi ya binadamu. Most of times it is not about what we are supposed to decide but it is about under what circumstances we are making those decisions.Exactly my point my dia.
Wakuu,
Kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini wakiwa na mavazi yanayoooneyesha waziwazi miili yao kama vile matiti, mapaja na sasa baadhi wameanza kuvaa nguo zinazoonyesha hata shanga viunoni. Hata bungeni sasa ugonjwa huo umebisha hodi na kukaribishwa kwa kishindo. Kuna picha kwenye Jukwaa la Jamii Photos inayoonyesha dada mmoja akiwa kwenye club moja huku makalio yote yakiwa nje kabisa.
Jamani akina dada chondechonde wanaume kama sisi madume ya mbegu mnatutesa jamani. Tutaangamia wenzenu. Hivi serikali haioni tatizo hili! Na tamwa je?
na wewe ndo walewale na avater yako!au kuweka uwiano mzuri....na nyie wanaume muwe mnavaa nguo za kututamanisha na sisi.......hata sisi tunapenda kutamani jamani
Mkuu hiyo nyekundu nimeipenda sana. Umenena haswa, tuwapotezee tu hawa shenz type.kuna kitu nimegundua kutokana na comments za akina dada katika topic hii!!! WAO SIO WANAUME, HAWAJUI TUNAVYOJISIKIA TUKIWAONA NA NGUO ZAO HIZO! Na kwa mantinki hiyo basi, lolote watakalosema ooh punguza tamaa, mara utabaka dada zako, ni sababu wao sio wanaume! Kubaka hatubaki lakini mnatuumiza! Na tunaumia sana mkae mkijua, sio tamaa wala nini, ndio tulivyoumbwa.
Ngoja tuwapotezee, mtatembea uchi ninyi mpaka mbwa watawatamani shenz type. Jiheshimuni
Aisee unajua nilikuwa nakutafuta sana wewe. Ulikuwa wapi siku zote hizi??Da Womanizer we nawe, mhh