Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,425
- 2,113
Mimi nafikiri ni tamaa tu za wanaume zimejengeka vichwani mwao. Kwani kabla wakoloni hawajatuletea nguo, mambo yalikuwaje? Ina maana ilikuwa ni kubakana tu? Tatizo ni kuwaza ngono. Unamwona mwanamke halafu mawazo yako yanaenda tu pale katikati ya miguu. Mbona tukienda nchi za watu tunazoea (japo inakuwa shida kidogo mwanzoni)?