MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Exactly my point my dia."Kujisitiri" unakokuzungumzia hapa ni kupi? Maana kila mtu ana tafsiri yake kulingana na sababu mbalimbali. Hata hivyo nitakujibu kwa namna ambayo ninadhani unamaanisha. Ni kwamba kwa upande wangu ni mara nyingi sana nimewaangalia mara mbili mbili wanawake "waliojisitiri" lakini pia ni mara nyingi sana nimewaangalia mara KUMI KUMI wanawake wanaovaa nusu uchi.