Najivunia kuwa mkazi wa jimboni Kawe kwani tumebarikiwa kuwa na Hospitali kubwa za kisasa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
1. Rabininsia Memorial Hospital - Tegeta Namanga
2. Kitengule - Tegeta Njia Panda Wazo
3. TMJ - Mikocheni Jirani na Tanesco Mkoa

Unaweza ongezea Hospitali nyinginezo za kisasa & eneo zilipo ndani ya Jimbo Letu

Mungu ibariki Kawe
Mungu tubariki wakazi wa Jimboni Kawe
 
Na zote zilijengwa chini ya uongozi mtukufu awamu ya tano ukisimamiwa na mbunge makini kabisa, Askofu Mh Dr mkata viuno mtumishi aliyetukuka Rashid Josephat Gwajima mkubwa wa marais
 
Hao Kitengule wajiangalie na maabara yao,majibu yanachukua muda mrefu kama matokeo ya uchaguzi kawe 2015.

Leo kipimo cha Amoeba tu masaa 4
 
1. Rabininsia Memorial Hospital - Tegeta Namanga
2. Kitengule - Tegeta Njia Panda Wazo
3. TMJ - Mikocheni Jirani na Tanesco Mkoa

Unaweza ongezea Hospitali nyinginezo za kisasa & eneo zilipo ndani ya Jimbo Letu

Mungu ibariki Kawe
Mungu tubariki wakazi wa Jimboni Kawe
Na wewe wekeza kitu kisifiwe....kama ulivyofanya.
 
Back
Top Bottom