Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

mi nna raha.kwetu Mbeya Mjini yupo sugu. Dar jimbo ubungo yupo mnyika
 
...dah poor TMK..Tutampandisha nature 15' awe mwakilishi we2 kptia chdm...ila ile mibange, sugu, lema wanavuta ila yule kazd.
 
cjui nilie, maana huyu aliyepita bila kupingwa ajafanya kitu, ni huyu mama naniii wa ardhi
 
Mbunge wangu Lema, na Diwani CDM. Nyumbani the ever worst Nagu, ila halmashauri the peoples power wameikaba koo!
 
Najivunia Rombo hapa, tulimpiga chini fisadi Mramba ila Mbagala kuna boa WASWAHILI WENGI hawataki mabadiliko, pia propaganda udini bado ni tatizo. Watu huku wamekalia umbea na kusifia Magamba. Inauma sana.
 
A- town hapa, diwani CDM, Mbunge Wote mnajua. Nikiwa kwa dingi mbunge John Mnyika na nikienda kwa babu ni kale kazee mi sijui ni mpinzani au mkinzani (mzee wa kiraracha)
 
biharamulo nipo na dr mbasa waziri kivuli wa afya,dar nipo na mdee ,najisikia rahaaa utamu
 
Siyo wapinzani wote wa maana mimi mbona ovyo: Maswa-Shibuda, Bariadi- Cheyo

hilo nalo neno ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom