Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Kwahyo mkuu umesoma yudom MDUdom ni chuo cha kusukumiza siku ziende, hakuna mwanzafunzi ndoto yake kusoma UDOm. Wengi huangukia UDOM sababu ya matokeo kuwa mabovu
Hata mimi nilipomaliza form 6 nilioata Div 1 ya 8, kozi nukiyokua nataka UD ilikua na ushindani nikaambiwa naweza nisipate hivyo niangalie na vyuo vingine ndio mawazo ya Udom yalipokuja. Japokuwa nilipata
Sisi tulio soma abroad na Bado hatuvimbi......😂😂🤣🤣Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Halafu bado unalia na Utumishi[emoji28][emoji28][emoji28]Sisi tulio soma abroad na Bado hatuvimbi......[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
University of Massachusetts,
Massachusetts huu mji ndio una colleges na university nyingi ukiwa united State of America.....
UNIVERSITY OF KWAZULU NATAL,
Mm pia ni Alumin,
Kwa ambao hawajui hii university of kwazulu natal ipo DURBAN
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mkuu hii comment unamlenga nani?!!Halafu bado unalia na Utumishi[emoji28][emoji28][emoji28]
Udom ni chuo wanaenda watu walioperform kawaida na kukosa vyuo vya maana kama UD. Hakuna mwanafunzi anayefanya vizuri ndoto yake ni kusoma UdomNakubaliana na wewe huwez kuta kipanga wa Div 1.3 mpk 1.7 advance Yuko Udom[emoji28][emoji28] pale wanaanzia Div 3 na 4
Hili linahitaji mpaka utumie rocket science? Wewe kama ulisoma udom basi ni wazi hukufanya vizuri sana advancePoaaa.
Endelea kuamini udsm ni chuo bora.
Sijui ingekuwaje kama ningesoma udom, nahisi ningehairisha chuo kwa kipindi hiko mpaka pale nafasi ingepatikana UD. Nenda kasome udom Kama huna namna nyingine kwenye vyuo vingine hasa UD, au Muhimbili kwa kozi za afyaKwahyo mkuu umesoma yudom MD
Jamii forum bana.Hili linahitaji mpaka utumie rocket science? Wewe kama ulisoma udom basi ni wazi hukufanya vizuri sana advance
Udsm course moja udahili wanafunzi 20 au 30, Kwahiyo nyinyi mnataka wanafunzi wengine waliofaulu wasipate udahili kisa Udsm. Udom au SUA n.k unakuta capacity ya course moja ni 150....waacheni watu wasome maana aliyesoma udsm na aliyesoma SUA au UDOM mkimaliza nyote mnakutana utumishi.Udom ni chuo wanaenda watu walioperform kawaida na kukosa vyuo vya maana kama UD. Hakuna mwanafunzi anayefanya vizuri ndoto yake ni kusoma Udom
Hv kwa uelewa huu na ww ulimaliza pale Udsm au ulidisco mbona unaaibisha chuo.Udom ni chuo wanaenda watu walioperform kawaida na kukosa vyuo vya maana kama UD. Hakuna mwanafunzi anayefanya vizuri ndoto yake ni kusoma Udom
Duh!, eti huyu naye kasoma Udsm.Udom ilianzishwa kukidhi mahitaji ya shule za kata Maana wanaosoma shule za kata Olevel ufaulu wao advance ni mdogo pia so wanakusanywa huko Coed[emoji28][emoji28][emoji28]
UDOM cozi mbili wanatisha mno mambo ya IT has GIS,Remote Sensing na mengine wapi vizuri mnono.Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
UDOM cozi mbili wanatisha mno mambo ya IT has GIS,Remote Sensing na mengine wapi vizuri mnono.Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia