Mhhhh .......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hongera sana ila angalia sana :lol:
Kweli kabisa brother, najitahidi kukusanya takwimu za kutosha kabla ya kula kiapo.Kuwa makini na matapeli wa mapenzi na usiingie kichwa kichwa kabla ya kuchunguza kila kitu
Yaani usiache jiwe lolote halijageuzwa kwenye uchunguzi wako katika kuhakikisha kuwa huyo mpenzi ni real
Mapenzi ni shule so kama unaanza shule huwezi kuanzia la saba kurudi chini
bali unaanzia nursery kwenda juu
Akili kumkichwa
Ndiyo, najitahidi kuteki great care mzee, na siku zote mawazo ya wazee ni mazuri sa na yapaswa kuzingatiwa. Asante sana kwa ushauri wako.Vijana wa sikuhizi bana!!!! Eti mtu wamejuana miezi miwili tu tena mtandaoni eti tayari wameaminiana? jaman ukikosea katika kuoa/olewa lazima uharibikiwe maisha yako, TAKE CARE kijana usijeteseka.
Asante hilo linazingatiwa mheshimiwa.hongera sana mkuu,ila kua makini akianza na haari kua ana check sijui ya dola laki ngapi anataka ahamishie tz,usimchekee itakula kwako.
Asante kaka lakini huko kucheka ni kwa heri kweli!HAhahaha
Jamaa umeopoa sio?
Haya all the best bana
Nimepata mama, we tia tu juhudi!he ulipata yule mnyarwanda??? basi na mie naweza kabisaaa kuopoa mzungu humu...LOL
Shukrani sanahongera mkuu!
Nakutakia kila la heri, na uwe umempata anayekufaa.
Shukrani sana kwa knitakia heri.Hongera na Mungu akusaidie broda.