Najiulizaa Sanaa

Najiulizaa Sanaa

mchichaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
304
Reaction score
120
Habari zenu jf
Mi na jambo moja kuhusu hawa wasichanaa A.k.a wadada zetu hivi kwanini hawa watu unapoanza kupata nafsi ya kumueleza hisia zako(kumtongoza), sologan yao kubwa unakuta anakuelezaa kwamba yeye Ana mtu.....so hakuna njia nyingne ya kuji defence zaidii ya hiyooo....zn ukija kumkaziaa sana mtakua pamoja na papuchii utakula sana,, jeee uyo mtu wake anakuepo wapi tena ???
 
hapo ni akiwa kwako ni wako na asipokua kwako ni wa hyo mtu wake
 
Utoto shida sana mod linaitajika jukwaaa la dhiada kwa watoto
 
Back
Top Bottom