2020 Watapitishwa na CCM iwapo tu utaratibu wa kura za maoni utawekwa kapuni na CCM.Imekua desturi ya wanasiasa wetu kutokuheshimu maoni ya wapiga kura wao yaani mwakilishi wa wananchi kwwnda kuwakilisha mawazo yake,.
Sikatai kuhama hama kwa wapinzani lakini najiuliza wamefikiria juu ya lifespan yao ya kisiasa je wasipopitishwa kwenye kura za maoni watakua na mtetezi wa kuwatetea kama ilivyo sasa hiv?
wanasiasa mnaohama vyama huu ni muda wa kujitafakari sasa
Unajua kabla hajahama walikubaliana vipi?2020 hawatapewa nafasi na weng wao itakuwa mwisho wa ufalme wao kwenye siasa
Bro Mitchell leo Umeongea point ya Siku 2020 itakuwa Patashika Nguo Kuchanika hawa Wahamaji watapata snaa Tabu maaana wafia chama Wanawaangalia kwa jicho la Hasira Kinoma kaka.Awapi....kuna wafia chama wana hasira kweli kweli...
Afu 2020 itakua kila mtu on his on way yanii kila mtu kivyake huyo pombe mwenyewe atakua anahaha kutaka kuchagyliwa tena unadhani atakua na muda wa kukakikisha wafia chama hawawahujumu hawa kondoo waliokatwa mikia??
Sure Mkuu maana 2020 kila Mtu atakuwa anapambana kivyake na ndipo Hapo Wafia Ccm watakapoanza Kudeal na Hawa Malaya wa Kisiasa Kimshazali zaidi.Ndo mwisho wao mkuu..fisiem wajanja san..akuna atakae pitishwa ata mmoja hapo
unafikir hawakuwaza hayo? Sidhani Kama Kuna mbunge angefanya ujinga wa kuhama chama, halafu 2020 asirudi mjengoni.Maana Hakuna ambacho angekuwa amekifanya, ni bora angebakia huko huko chadema..Sure Mkuu maana 2020 kila Mtu atakuwa anapambana kivyake na ndipo Hapo Wafia Ccm watakapoanza Kudeal na Hawa Malaya wa Kisiasa Kimshazali zaidi.
《Mkuu Unajua Maana ya mvuvi Kumuwekea Chambo Samaki kwenye Ndoano??》unafikir hawakuwaza hayo? Sidhani Kama Kuna mbunge angefanya ujinga wa kuhama chama, halafu 2020 asirudi mjengoni.Maana Hakuna ambacho angekuwa amekifanya, ni bora angebakia huko huko chadema..
Pia kumbuka ccm ni chama tawala hata asipo rudi bungeni.. Kuna teuzi nyingi saana
Hawatapita na ndiyo mpango rasmi was kuukata nguvu upinzani. Kwa maana mbele hakuendeki na nyuma hakurudiki.Imekua desturi ya wanasiasa wetu kutokuheshimu maoni ya wapiga kura wao yaani mwakilishi wa wananchi kwwnda kuwakilisha mawazo yake,.
Sikatai kuhama hama kwa wapinzani lakini najiuliza wamefikiria juu ya lifespan yao ya kisiasa je wasipopitishwa kwenye kura za maoni watakua na mtetezi wa kuwatetea kama ilivyo sasa hiv?
wanasiasa mnaohama vyama huu ni muda wa kujitafakari sasa
Mkuu kweli hiki ndo kitu huwa nakifikiria na mm ina maana wenyewe hawana hizo fikra au wamewekeana mkataba kwamba ikifika na 2020 watasimamishwa wao ..????
Hahaa, mkuu. ccm isirudi? Pia chini ya JPM hamna kura ya maoni, wafia chama hawana cha kuamua. Ingekuwa wanafuata mchakato wa kura ya maoni,, hao wanao hamia wasinge ipata hyo nafasi. jpm ndo final say《Mkuu Unajua Maana ya mvuvi Kumuwekea Chambo Samaki kwenye Ndoano??》
Hivyo ndivyo ilivyo kwa Hawa wahamaji huwa wanadanganywa ili akina Polepole wazinyake Saini zao lakini Wafia Chama wapo na Wanawalia Timing vizuri tu.
2020++ wana Uhakika Gani wa Hizo teuzi wakati Pombe mwenyewe anaweza Asirudi Magogoni??