Asante sana Rebeca.
Applied Psychology. (Pia kwenye Saikolojia ya Jamii, Tabia, Malezi na Makuzi, Mahusiano, Hisia, Elimu n.k
Kwa sasa nafundisha Saikolojia (IBDP) Aga Khan Education Service Tanzania
Sisi wenye mipango ya kuja kusababisha maafa na matatizo hapo miaka ya hapo mbele unatuweka kundi gani, hasa mimi. Tatizo kisaikolojia inaweza kuwa nini.
Asante. Ubaya wa kitu upo kwenye matumizi sawa na ilivyo kwenye vile vinavyodhaniwa kuwa vizuri. Mara nyingi ubaya wa pombe umekuwa ukionekana kwenye matokeo ya wanaoitumia, mfano ugomvi, lugha za matusi, kupuuza yaliyo ya msingi n.k.

Na kama haikubugudhi wewe kwenye masuala mengine ya kimaisha... kila la kheri. Maana wapo wasiotumia pombe lakini bado hawatoshi kwenye jamii zao. Na wapo wanaokunywa nawanaendelea kuwa wa manufaa