Najisikia kuchana

maurice bernad

JF-Expert Member
May 24, 2015
315
250
Lugha yangu so utashi kutambulika kwa wabaya,
Kitabu kiwe kwa wote sifa ziende kwa wahaya,
Nawaza mema ila mtenda mema ndo walimfanyia mabaya,
Wengne wakakata tamaa,kwa kushika shavu wakafanya umalaya,
Nyumbani wapate vinono futa mpaka kwa mdomo,
Ajabu wote waisoma namba hata wasopitia kisomo,
Mzee kiko kashikilia ajui wap utam utakua kikomo,
Zigo likawa hatia mbebaji kupanda kizimbani,
Sadaka ndo alietoa ili aendeshe uchumi uraiani,
Sasa nguvu zimekata hatuteki ka maji tumemwachia maanani,
16 ilikua shufwa lakini hakuna supu,
Tasa asiezaa anakuja si ndo tutakula upupu,
Tushatumbuliwa mpaka damu,
ni dhambi tulizofanya au mwanzo alikosea adamu,
Ni kesho ninayoingojea kwa hamu,
Sina kitu mfukoni mwaka ntauona mtamu.....to be continued
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom